Majina ya aina za magari kutumika kwenye Viburudisho!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya aina za magari kutumika kwenye Viburudisho!?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wilbert1974, Apr 27, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  :yo:[FONT=&quot]Bosi alikuwa safari ya kikazi sehemu fulani. Akaamua kuchukua chumba kwa muhudumu wa gesti ili aweze kumpumzika na uchovu wa safari.[/FONT]

  [FONT=&quot]Bosi: Anamuuliza muhudu… Hapa naweza kupata kiburudisho?[/FONT]
  [FONT=&quot]Muhudumu: Bosi hapa viburudisho aka ving’amuzi huwa vinaitwa kwa majina ya aina za magari![/FONT]
  [FONT=&quot]Bosi: Akafikiria na akamwambia muhudumu… sawa! Niitie BENZ[/FONT]
  [FONT=&quot]Muhudumu: Oooh bosi; Benz limetoka muda si mrefu! Lilobaki sasa ni VOXY WAGON tu la zamani…[/FONT]
  [FONT=&quot]Bosi: Poa. Niitie hilo hilo V/W sasa…[/FONT]
  [FONT=&quot]Muhudumu: Fasta fasta akalipigia njemba moja akalielekeza moja kwa moja chumbani kwa Bosi.[/FONT]
  [FONT=&quot]Bosi: Aaah we muhudumu mjinga nini? Kwa nini umeniletea hili bwabwa/shoga?[/FONT]
  [FONT=&quot]Muhudumu: Bosi wangu hilo ndo VOXY WAGON kwani engine yake ipo nyuma…
  [/FONT]
  :nono:[FONT=&quot] Tchao Tchao Tchao! [/FONT]:croc:[FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mkuu, mbavu zangu jamani.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaaa
  Dah
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Jf jamani!!

  Mtakuja kufanya watu waonekane wehu, kumbe ni maneno ya humu ndani.
   
 5. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Usikonde kitengo chetu cha wehu kina dawa na wataalamu wa kutosha na matibabu ni bure tu...:yo::peace:
   
Loading...