Majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2020 yatoka, mikoa 13 yafaulisha wanafunzi wote

Wanamaliza std 7 -. 700k
Wanamaliza form IV. - 300k
Wanamaliza form VI - 150k
Wanajiunga higher edctn - 85k
Ajira. Zinatangazwa -. 5k
Kumbuka kunawengine watakuwa wajasiriamali,Kuna wanamuziki hapo,kwaiyo sio wote hao watabaki kusubiria ajira za serikalini
 
Peleka ujinga wako UFIPA kwa dikteta mbowe. Hayo ni matokeo ya ELIMU BURE yamefanya kupungua kwa utoro na watoto wengi kupenda shule. Cheki takwimu za madarasa yaliyojengwa Awamu hii na ongezeko la watoto mashuleni. HOJA mlishaishiwa mmebaki kudandia MATUKIO na kupotosha. JPM na CCM yake Ndio habari ya mjini
Kwan mwisho wa ada ya primary kulipwa ilikua Lin?? nadhan hata kabla ya awamu ya tano elimu ya primary ilikua bure
 
Inamaana mpaka sasa majina na shule wanakoenda hayajatoka? Sasa waziri alikuwa anatangaza utumbo gani?
 
Waziri mzima hana data alafu anatangaza nini sasa? Hili jipu! Inatakiwa ukitangazia umma uwe na hayo majina na shule wanakoenda ili wazazi na wanafunzi wajiandae! Suleiman Jafo unakwama wapi? Kwani ilikuwa lazima utangaze?
 
Mwaka jana wahitimu zaidi ya 100,000 walikosa nafasi ya kujiunga na elimu ya sekondari, tukachangishwa, again mwaka huu yamejirudia yaleyale, huku magufuri ananunua ndege kwa cash money, hii ndio serikali ya ovyo kuwahi kutokea
Ni upuuzi ndege ni muhimu kuliko elimu
 
Ni ajabu sana, yani ndani ya website ya Tamisemi hakuna hata tamko la kuonesha watu wanawezaje kuona hizo selection...hii nchi hii..
 
Baadhi ya mikoa tayari ila baadhi bado... Kama Dar bado... Jaribu link ya hawa jamaa... uniforum.tz
 
Pia muulize,hao watoto waloachwa kwa kukosa madarasa na hata waliopelekwa wanajua kusoma sawasawa?.

Elimu imetawaliwa na siasa,Kama isingekuwa Ni siasa serikali ingeumbuliwa na walimu kwa kuwakataa watoto wasio jua kusoma na kuandika kuingia Sekondari.
Jirani yangu mwanae pia kafauli lakini kusoma na kuandika alikuwa anazdiwa na mdogo wake ambaye mwakani anaingia STD four

Guys,
Siasa inaharibu sana elimu ya Tanzania…!
Kuna principles 2 Watawala wa Tanzania wanazitumia kutawala:
  1. UKITAKA KUMTAWALA MTU MNYIME AU USIMPE ELIMU.
  2. HAKIKISHA WAKTI WOTE HANA HELA MFUKONI.
Elimu inayotolewa Tanzania haina UBORA na haiko kwene VIWANGO vya Kimataifa!
Lakini pia inatolewa au kusimamiwa kwa matamko na kukurupuka na hakuna MITAALA inayoeleweka…ndo maana utakuta kila Waziri akiingia au Awamu nyingine ikianza inaanzisha mitaala yake!

Hili la watoto 58,000 kukosa madarasa ni aibu kubwa!Hii inaonesha Magufuli hajajiandaa na elimu ya bure zaidi ya ubabaishaji!Hakuna maandalizi wala chochote hapa! Unapotoa amri ya kujenga madarasa kwa mwezi 1 ni usanii na upuuzi mtupu!
Hivi hawa Maafisaelimu Ukaguzi/Takwimu walikuwa wapi? Je,hawakujua mwaka huu kuna watoto wangapi watahitimu Std 7?
Hii ndiyo maana ya HAPA KAZI TU!
 
Serikali iwapeleke hao wanafunzi katika shule binafsi,Inakuwaje spika wa bunge atibiwe india kwa bilioni 3 ishindikane kuwasomesha hawa wanafunzi?

Inawezekanaje kununuliwa ndege cash ishindikane kuwasomesha hawa kwa skool za private?

Hii ya Spika Ndugai kutibiwa kwa 3 bilioni INDIA imenshitua…!Alikuwa anaumwa ugonjwa gani huyu agwe?
Kuhusu Elimu yetu ni kweli hakuna maandalizi zaidi ya kujmwambafy na kutoa Elimu bure…!
Ni nini kazi ya Maafisa Elimu Ukaguzi na Takwimu?Hizi taarifa hawakuwa nazo?
Nchi inaendeshwa kwa matamko na Mihemko ya Watawala…!
 
Back
Top Bottom