Majina tunayowapa wanawake yana maana gani ? Mimi sielewi

Meshacky Allyson

Senior Member
Oct 29, 2020
126
250
Habari wana JF , kila siku nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani anayetoa haya majina tunayowapa wanawake , yana maana gani ,je yana athiri vipi ufahamu wao , Kumekuwa na wimbi kubwa la majina ambayo tunawapa wakina dada ,mara utasikia pisi kali ,Chura , Demu ,Huwa najiuliza tunawachukuliaje wadada ,je haya majina yana maana gani ,...??
Hebu weka comment hapo chini kuhusu haya majina na tafsiri zake kama mnazijua wana JF
 
Demu

Pisi Kali

Memsap

Fuso - mnee

Tandam- lina maziwa makubwa na mitako

Bond yangu- dame wangu /mpenzi

Manzi- mchumba

Chawote


Bitch la kitaa


Na mengineyo


Ni misamiati tu ya vijana
 
  • Thanks
Reactions: _ID
hdpo dodoma wanafaamika zaidi kama ''kazi''
utasikia kazi ya wapi leo
 
Back
Top Bottom