MASTER VOICE
Member
- Dec 16, 2010
- 7
- 0
Hello wana JF ktk tafiti mbalimbali zinaonyesha wazi majina tunayobatizwa au tunayopewa na wazazi hufanana na tabia ambazo tunakuwa nazo tukifika ukubwani.
Na hii hugundulika baada ya kulinganisha watu wawili watatu na kuwafanya sample ktk jina wanalofanana na baadhi ya majina huwa na sifa mbaya.
Mfano jina la ASHA watu wenye majina haya wengi wao huwa waongeaji saana,wapenda udaku na mengine mengi na kwa wa vulana jina la EMMANUEL- watu wenye jina hili huwa wapenda ugomvi na wenye sura za upole sana. Huu ni mtazamo wangu je wewe nipe majina mengine na tabia zake na ni je unakubaliana kuwa tabia zinaendana na majina?