Aquatic JF-Expert Member Oct 25, 2013 715 268 Oct 27, 2013 #881 Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini. 1. Majungu mliyoyapika sasa mtayapakua 2. Nenda kaseme tena 3. Gusa unate 4. Flag ya chuma 5. Masikini hafilisiki
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini. 1. Majungu mliyoyapika sasa mtayapakua 2. Nenda kaseme tena 3. Gusa unate 4. Flag ya chuma 5. Masikini hafilisiki
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Oct 29, 2013 #890 Mjini hakujanishinda Nalog off
Mutensa JF-Expert Member Feb 20, 2009 421 90 Oct 29, 2013 #892 Washawasha said: nyayo za simba. Nalog off Click to expand... Mzee unalog off mara ngapi kwa siku?
nelly nely JF-Expert Member Feb 12, 2012 665 229 Oct 29, 2013 #896 Washawasha said: mjini hakujanishinda Nalog off Click to expand... mbwa hazai chura log in
nelly nely JF-Expert Member Feb 12, 2012 665 229 Oct 29, 2013 #897 Mutensa said: Mzee unalog off mara ngapi kwa siku? Click to expand... twih tweh kwii...
nelly nely JF-Expert Member Feb 12, 2012 665 229 Oct 29, 2013 #898 mari3mar said: Hata mbuyu ulianza kama mchicha Click to expand... babaako analo?
T thadei kimambo JF-Expert Member Jan 31, 2013 220 126 Oct 29, 2013 #899 Kama wewe jembe kubali kuchomekewa mpini
mwantui JF-Expert Member Mar 22, 2011 1,631 834 Oct 29, 2013 #900 KOKUTONA said: Mawe yataiva na kuni zitabaki Click to expand... Mkuu umetisha