Chacha Isare Nyakyegi amemaliza kidato cha nne, anataka kwenda jeshini lakini hajui ajiunge jeshi lipi. Akamfuata Balozi wa mtaa Mhe. Nyamohanga Makere Ngocho amshauri jeshi la kujiunga nalo. Balozi Ngocho akamwambia faida anazoweza kupata Mkurya jeshini kama ifuatavyo:-
Ukiwa Polisi – hutapeleka Wakurya wenzako wa tuhuma za bangi na ukeketaji Mahakamani ili tudumishe mila zetu.
Ukiwa Jeshi – utazuia wavamizi wa ardhi ya Wakurya toka nchi jirani. Pia utalinda na kuhifadhi muungano.
Ukiwa Magereza – utawasaidia Mangariba waliofungwa wasifanye kazi ngumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.