Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

001
IMG_20191001_094441.jpeg
 
Danga moja likifa, danga lingine linazaliwa.

Danga moja likifa lingine linazaliwa immediately.
 
Ndani ya daladala pale konda anapodai nauli utasikia
" Subiri ikisimama ntakupa "
"Hivi nlivokaa ntakupaje?"
"Utapewa nyuma "
"Utapewa mbele "
"Tulia! Nakupa "
"Nakupa, subiri nikae vizuri "



""Ngoja waje kukupa muongozo........

Cc mahondaw """. Jinga kabisa
 
Back
Top Bottom