Last_Joker
Member
- Nov 23, 2018
- 29
- 17
Mchawi ndugu
KibokoKati ya kiboko na mamba nani kiboko
Live PatrickSi kila dawa ya maji ni ya kunywa. Hii ni ya kupaka
😁😁😁aisee1. Ukitaka kujua njia ya mkato kula nauli
2. Ukitaka mke mwenye tabia kama zako oa dada yako
hahahaKuna moja nimekutana nayo....pesa huna,nguvu huna,hata mkwara basi.
BINADAMU NI UBATILI MTUPUJamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
Pamoja na kazi zao tunafanana matumizi