Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Balaaa yaani watu wa magari sijui wanatoaga wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha si-waswahili wajua haya mambo mwanzo wake ni huku pwani ... kama ukitembelea tanga " Sehemu za nje kidogo ya mji utakutana na nyumba ambazo mlangoni au pembeni ya mlango ukutani utakutana na jumbe tofauti tofauti zimeandikwa hapo ....

Kama - Mgeni karibu lakini utakayo yaona humu ndani haya kuhusu etc .. mara ya kwanza kukutana na huo utamaduni nilistaajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol
images(137).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom