Majina na misemo kwenye daladala za Bongo

vallentino86

vallentino86

JF-Expert Member
534
250
1. Ukitaka kujua njia ya mkato kula nauli
2. Ukitaka mke mwenye tabia kama zako oa dada yako
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
442
500
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
BINADAMU NI UBATILI MTUPU
 

Forum statistics


Threads
1,424,653

Messages
35,069,293

Members
538,026
Top Bottom