Majina na Misemo kwenye daladala za bongo

kabugira

kabugira

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Messages
966
Points
500
kabugira

kabugira

JF-Expert Member
Joined May 14, 2014
966 500
Haya ni baadhi ya majibu ya abiria baada ya konda kudai nauli.

"Nitakupa"
"Subiri isimame ntakupa"
"Atakupa mbele"
"Utapewa nyuma"
"Hivi nilivyokaa nitakupaje?"
"Umesikia hupewi?"
"Tulia nakupa"
Umeua!!!!

kutoka: 22D Arnold st.
 

Forum statistics

Threads 1,307,003
Members 502,311
Posts 31,598,939
Top