Majina na Misemo kwenye daladala za bongo


INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Messages
4,924
Likes
3,534
Points
280
INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2012
4,924 3,534 280
Waswahili hawaishiwi maneno hata ukikanyaga tope wanase unawatimulia vumbi
 
Ndeteiyo

Ndeteiyo

Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
45
Likes
7
Points
15
Ndeteiyo

Ndeteiyo

Member
Joined Sep 13, 2016
45 7 15
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga
 
nawapatabusana

nawapatabusana

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Messages
401
Likes
298
Points
80
nawapatabusana

nawapatabusana

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2018
401 298 80
Haya ni baadhi ya majibu ya abiria baada ya konda kudai nauli.

"Nitakupa"
"Subiri isimame ntakupa"
"Atakupa mbele"
"Utapewa nyuma"
"Hivi nilivyokaa nitakupaje?"
"Umesikia hupewi?"
"Tulia nakupa"
 
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
5,673
Likes
5,065
Points
280
Age
22
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined Apr 29, 2016
5,673 5,065 280
Shida Zako Ziweke Kwenye Malboro Nyeusi Watu Wasizione
 

Forum statistics

Threads 1,250,894
Members 481,523
Posts 29,749,882