Majina na Alama za vyeo vya jeshi la Polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina na Alama za vyeo vya jeshi la Polisi

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by GAZETI, Oct 31, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Kwa anayefahamu naomba msaada wa kujua ngazi ya vyeo vya polisi

  Kwa mfano Inspekta ni yepi majukumu yake na anatambuliwa kwa nyota

  au alama gani, Sajenti, Konstebo, Koplo n.k


   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kama ni jeshi la polisi la Tanzania, basi angalia wikipedia, kwenye ukurasa wa police rank in UK, maana sisi ndio tumerithi uko.
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Vipo vya kiutawala na vya kijeshi weye wataka vipi?.......mathalan IGP ni cha kiutawala wakati kijeshi ni kamishna wa polisi (CP)

  Kijeshi
  Commissioner of Police
  Deputy Commissioner of Police
  Senior Assistant Commissioner of Police
  Assistant Commisisoner of Police
  Senior Superintendent of Police
  Superintendent of Police
  Assistant Superintendent of Police
  Inspector
  Staff Sergeant
  Sergeant
  Corporal
  Lance Corporal
  Police Constable
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,174
  Trophy Points: 280
  Ndata

  Mwera

  Kuruta

  Njagu

  TiGo

  Nyigu

  Afande Kidekeo

  Mlinzi

  Kachero Hadji

  Ispekta Fogu

  Mpelelezi

  Usalama wa Taifa

  Askari Kanzu

  Fanya Fujo Uone
   
 5. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Duh! Hii kali.
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo umechanganya kidogo nadhani...
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mwenye V 3
  V-vumilia
  V2-vumbi
  V3-vizurii
  Ukiwa na v3 unaitwaje.
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hapana shem,

  Senior Superintendent of Police (SSP) hawa mara nyingi huwa ni OCDs,OCD/CIDs na nadra huwa RPCs
  Superintendent of Police(SP)hawa mara nyingi huwa ni OCDs,OCD/CIDs
  Assistant Superintendent of Police(ASP)hawa mara nyingi huwa ni OCSs
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,351
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii,
  Vipi Sajent Kitowela???
   
 10. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Naomba nielimishe hivi vyeo vya kiutawala zinakwendaje....maana kwingine nakuta OCD ndio mkuu wa kitua, na kwingine nakuta OCS etc.
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  OCD hawezi kuwa mkuu wa kituo bali anaweza kuwa na ofisi ndani ya kituo. Mathalan Oysterbay Police Station pana OCS na OCD wa kinodnoni na ofisi pale....na RPC wa mkoa maalum nae yuko pale pia
   
 12. R

  Renegade JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Kwa Tanzania cheo cha juu ni IGP, Akifuatiwa na Makamishina, Halafu kuna madeputies. Then kuna Senior Assistant Commisioners.
   
 13. R

  Renegade JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Halafu ACP, SSP, SP,ASP, Inspector, Assistant Inspector, Rsm, Staff Sergent, Sergent na Koplo. Kama sijasaahu.
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Unachnaganya.......hebu soma thread toka mwanzo....IGP,RPC,OCD na OCS ni vyeo vya kiutawala
   
 15. R

  Renegade JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Sawa lakini pia utegemeana na hadhi ya Kituo/Wilaya.
   
 16. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Camaraderie ameruka assistant inspector. Vinginevyo yupo sahihi kabisa.
   
 17. R

  Renegade JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Mkuu namjibu hapo kwenye nyekundu,
  Kuna Ngazi na majukumu, kwanza unapanda ngazi halafu unapewa majukumu kulingana na ngazi uliyonayo.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Hiki kimeanza lini hapa Tanzania?
   
 19. R

  Renegade JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ila cheo cha lens Corporal Hakuna Polisi. Halafu kuna RSM zamani walikuwa masajenti meja, lakini kwa sasa anakuwa mmoja tu katika kikosi.
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Polisi hakuna RSM (Regimental Sergeant Major) kwa kuwa hakuna police regiment bali ni constabulary......Lance Corporal wapo
   
Loading...