Majina mengine ni noooooooooooooma tupu

Mi nlisoma na hawa:
Nguma Kafira
Tiyana Kabumbu
Mwenge Madirisha
Kinembe Bahate
 
ni kweli kuna majina yanautata...kama hawa mawaziri hapa africa! David kinembe (alkuwa tz), james kakuma (trade,zambia), akaja katomba (health, ghana), nalia namboo (sheria,botswana) anton chipumbu (finance,mòzambque) wilfred kiboro(nmg, kenya) &KAZAKUKU FIRAFISI (industry,japan)! Mnaweza mka GOOGLE hayo majina kwa wasioamini..!

duuh haya majina!
sasa kama ndio katika mkutano, mswahili atakwazika kweli, akigeuka huku anasikia "Mr akaja katomba......", "any comments Mrs nalia namboo?"......... LO
L
 
ni kweli kuna majina yanautata...kama hawa mawaziri hapa africa! David kinembe (alkuwa tz), james kakuma (trade,zambia), akaja katomba (health, ghana), nalia namboo (sheria,botswana) anton chipumbu (finance,mòzambque) wilfred kiboro(nmg, kenya) &KAZAKUKU FIRAFISI (industry,japan)! Mnaweza mka GOOGLE hayo majina kwa wasioamini..!

nimegoogle hamna kitu kama hiki nalia namboo
 
Lakini majina yanategemeana na lugha ya jamii husika na kwa kuwa lugha ni sauti za nasibu, neno la kwaida katika jamii fulani linaweza kuwa tusi au la ajabu katika jamii nyingine. Hebu fikria majina ya Wajapani.................. Halafu kule Namibia nikakuta Waziri anaitwa Natombeka. Kwa Mfalme Mswati yaani Swaziland wakaniambia kuwa msichana mzuri yaani Mrembo wao wanaita Mboromboro; Kenya Changunduo anaitwa Kibiriti Ngoma na Mwanamke wanaita Manyanga!!!
 
KALAVUZI...SIJUI WA KIGOMA...TABU ILIKUWA INAKUJA PALE JAMAA YUKO UWANJANI THEN ANAKOKOTA MPIRA..MTANGAZAJI ILIKUWA KIMBEMBE KWENDA NA MOVE ...DAH MAJINA HAYA....:mod::mod::mod:
 
shida kikombe, shukuru kawambwa,leo lini, mzee babu,jana jumanne,leo moshi,mwana komba nk nk
 
Back
Top Bottom