Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,792
Jana nimekutana na mtu anaitwa Sicheki, ain't no joke
Kule Moshi nilikutana na mtu anaitwa ...Mboro (sikumbuki vizuri lakini nafikiri alikuwa Mmachame)
hahahahhhahahh
class mate wangu ubin wake ni ******
LOL it is not a joke majina mengine balaa!
Hiyo ni kweli kabisa mdau, tena ni ukoo mkubwa sana Machame hukoKule Moshi nilikutana na mtu anaitwa ...Mboro (sikumbuki vizuri lakini nafikiri alikuwa Mmachame)
Jina nimekutana na mtu anaitwa Sicheki, ain't no joke
Hata Wakibosho pia wana jina hilo. Wa kike anaitwa ManamboroKule Moshi nilikutana na mtu anaitwa ...Mboro (sikumbuki vizuri lakini nafikiri alikuwa Mmachame)