Majina mengine na viunganishi ni utata kabisa... sikia hii stori | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina mengine na viunganishi ni utata kabisa... sikia hii stori

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wilbert1974, Jul 10, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kulikuwapo na watoto wawili KISA na NATO.
  Siku moja NATO alikuwa amenunua kitu chake kinaitwa RAWE; na akawa ajidai nacho kwa KISA kama ifuatavyo.

  NATO: Kisa rawe yangu x3… (huku anapandisha sauti)

  Bahati mbaya wakati Nato anafanya majigambo haya akatokea mbwa; na Kisa akawa ndo wa kwanza kumwona mbwa huyu. Kisa akaamua amhadharishe mwenzake, Nato juu ya mbwa kama ifuatavyo.

  KISA: Nato (weka jina la mnyama huyu) x5 ….

  Na uwe makini usitoe sauti kubwa watu wanaweza kujua unaliwa wewe (mtandao wetu ule)!

  Na huu ndo ukawa mwanzo wa hayo maneno mawili.:blah: :argue:
   
 2. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Jamani hiyi ya mbwa si nilikuwa nasoma kwanguvu hapa job lol! nikapiga kelele NATOMB**AAA lol nimekomaje, nimeenda :sleepy:kuchekea chooni
   
 3. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Bila shaka hapo job walijua unabakwa na Bosi nini?!:nerd:
   
 4. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umekosea sana, huyo mnyama anitwa M'bwa sio mbwa
  mmezoea mitusi tu,,,,mxghrtxxgff!
   
 5. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Huwezi kuleta hoja juu ya hoja; pia mwongozo juu ya mwongozo...
  Kaa chini na kiswahili chako DHAIFU kabisa...
   
Loading...