Majina mengi ajabu

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,695
10,119
Jinsia ya kiume, ya kike na tendo lenyewe ndio vitu vyeme majina mengi sana.

kitu cha kiume utasikia kikiitwa mtarimbo, dudu, dude, kukwa lao, shafti, rungu, mpilipili, mkongojo, bakora, kipiliga, kibigobigo, tubelight, test tube, mkangafu, na mengine mengi.

jinsia ya kike utakuta inaiwa mbuye, kitumbua, sambusa, kipochi manyoya, kipompwiso, kishempereo, mashine, tobo, tundu, nk.

Ngono huitwa majina lukuki; kuchachachua, kuosha rungu, kunjunji, kugaragazana, kukamua, kuchabanga, kusokonyola, kukandamiza, kufyengesa, kudumbukiza na mengine mengi.

Je wewe unayajua wapi?
 
cha kiume...uume
cha kike ...uke
ngono...tendo la ndoa..

heshima na itawale hayo ni mambo matakatifu ati...:teeth:
 
Back
Top Bottom