ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,913
- 2,511
Jamani kwa wale tulioenda umri ningependa tukumbushane majina mbalimbali ya pesa mf nakumbukuka miaka ya 90's pesa iliitwa njurukuu, tuendelee..
Mchana mwema
Mchana mwema