Majina Mapya ya Kanga zilizotoka ZANZIBAR. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina Mapya ya Kanga zilizotoka ZANZIBAR.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkwaruzo, Aug 23, 2012.

 1. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Majina yenyewe ni haya:

  1) Ubaya ubaya tu, uamsho tutaua mtu.

  2) Si muungano si sensa,serikali musha chemsha.

  3) Imeshapita Ramadhani,mtakiona cha mtema kuni.

  4) Mabomu kwetu si kitu,tunayoitaka ni nchi yetu (Zanzibar).

  5) Sisi ndiyo uamsho,hamtutishi kwa maji ya muwasho.
   
 2. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimeamini kuwa kweli huu ni Udaku!
   
 3. s

  smartuser Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haswaaaaaaaaaaa. udaku na nusu!
   
 4. M

  Mariposa Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Waliopiga mabomu mungu atawahukumu 2. Bora uwe mkarimu kma shekh Msellem 3. Waliofunja kanisa waje ntawapa pesa 4. Uamsho no.1 sio kundi la wahuni 5. Watakao muungano hawafiki hata watano
  6. Siasi si fani yao na hilo hashuo lao
  7. Sisi si CCM tuna akili timamu
  Hayo majina mengne ya kanga
   
 5. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nyengine
  1. Kiasi tuukate, twalinda yetu heshima.
  2. Si wananchi si viongozi, kwa ufisadi hamshindiki.
  3. Hata mkitapatapa, nchi yetu mtaiacha.
   
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Loh!!!
   
 7. JOSEPH SAANANE

  JOSEPH SAANANE Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaaaah teh teh duuuuh hii ni nouumaaa
   
 8. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  maneno kwenye kanga huku bara

  1. Kelele kelele za nini, kama mna jeuri ondokeni
  2. Baniani mbaya kiatu chake dawa.
  3. Vunjeni msambe, hamtofika hata Chumbe
  4. Ahmada alishalewa, somo lenu hajaelewa
  5. Muungano muungano, tushayachoka yenu maneno
  6. Amshaneni sana, tutawalaza kiaina
  7. Wote wapo macho kodo, sasa wamwamsha nani?
  8. Endeleeni vivyo hivyo, mtaokota dodo kwenye mbuyu
  9. Kama jeuri mnayo, acheni kwanza kazi kwenye muungano
  10. Mtasema mchana, usiku mtalala

  Alaaah! Wanafikiri sisi ndo hatujui kuandika maneno ya kwenye kanga?
   
 9. k

  karanangwa New Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Panua paja mkwaja waja.....hii ni ya bara
   
 10. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hahahahahahahahhhhhh kwiwkwikwi......... yn hii imeondoa stress zng zte za foleni ya leo asubuhi
   
 11. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kaz ipo....
   
 12. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  1. Ng'ang'ani ng'ang'ani za nini, Zanzibar kunani?
  2. Mtuache tumupumuwe, yetu tujitawalie.
  3. Moto mmeshauwasha kuuzima mtashindwa.
  4. Kazi tutaziacha, muungano tukiuvunja.
  5. Hata mkitubeza, wenyewe tunajiweza.
   
 13. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  Nilipokuwa tanga likizo niliona kanga imeandikwa ..

  "Tamu kuramba Tamu kunusa..?"

  Ni sentensi imeacha maswali kichwani hadi hii leo
   
 14. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  halafu si ilikuwa imeandikwa nyuma katikatikati kabisaa mwa kanga ehee??

  SASA MASWALI GANI UMEBAKI NAYO WAKATI NI NENO LAKAWAIDA KABISA KULE TANGA
   
 15. M

  Mche Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  majina ya kinga zitazogawiwa na cmm uchaguzi ujajo! 1. Tumezoea vitamu tutahalalisha hata haramu! 2.ukimcheka jakaya mwenzako hana haya! 3. Ufisadi jadi yetu uadilifu sio haki kwetu!
   
Loading...