Majina Makubwa Siyo Nyerere na Karume tu: Ni pamoja na hawa...

Fokas, Brown, Dunia Adonis. Aluu Ally, Vincent Mkude, Hussein Ngulungu, Ahmad Amasha, Zamoyoni Mogella, Miraji Salum, Peter Tino, Mohamed Salim, Abdurahman Jalala, Salim Omari, Mohamed Makunda, Omari Mahadhi, Saidi George, Bakari Jack, Prosper Mboya, Chia Masonga, Willy Kiango, Abdallah Shebe, David Mwakalebela, Ernest Mwambete, Khalid Bitebo, Madata Lubigisa, Anthony Nyembo, Abuu Juma , Mohamed Kajole, Daudi Salum, Adam Sabu, Mohamed Bakari “Tall”, Jumanne Hassan “Masimenti”, Shaaban Katwila, Sunday Manara, Kassim Manara, Adolf Rishard, Boi Wickens, Mohamed Mkweche, Ezekiel Greyson, Martin Kikwa, George Kulagwa, Abdallah Kibaden, Leodegar Tenga, Jella Mtagwa, Juma Pondamali, Malekano,



Selemani Nyambui, Filbert Bayi, Habib Kinyogori, Titus Simba, Emannuel Mlundwa, Gidemas Shahanga,

duh! naona umemsahau mohamed chuma. jezi yake namba 3 ipo makumbusho ya taifa hapa dar. aidha makumbusho ya taifa wameweka sehemu ya wanamichezo huko utakuta picha za wacheza wa gosage.
 
Pia wapo wengine kama wafuatao,ambao nao nafikiri ni majina makubwa katika Historia ya Tanganyika/Zanzibar.......Issa Mtambo,Thabit Kombo,Wolfang Dourado,Kassela Bantu,Mwinjuma Mwinyikambi,Erasto Mang'enya,Rajabu Chamshama,Jumbe Tambaza,Kigono Chuma,Abasi Sykes,Suleiman Takadiri,Robert Otieno,Kibacha Singo,Mwinshehe Mtemvu,Tewa Said Tewa,Yoeli Mtindi,Saadan Kandoro,Dr William Mwanjisi,Salehe Masasi,Minja Kukome,Ramadhan Mashodo na Joseph Mamphombe.
Asante Mwawado kutukumbusha haya majina ya baadhi ya wapigania uhuru, naomba tukiwataja, pia tusiwe tunasahau title zao, ili kuthibitisha jinsi walivyojioa na sasa hali ilivyo.
Baadhi ya Tile zao ni hizi

Sheikh Issa Mtambo Issa, Sheikh Thabit Kombo Jecha, Jaji Wolfang Dourado, Mzee Joseph Kassela Bantu, Sheikh Mwinjuma Ali Mwinyikambi, Chief Erasto Mang'enya, Alhaj Rajabu Chamshama, Sheikh Jumbe Tambaza, Kigono Chuma, Abasi Sykes, Sheikh Suleiman Takadiri, Bw. Robert Otieno, Kibacha Singo, Sheikh Mwinshehe Mtemvu, Sheikh Tewa Said Tewa, Bw. Yoeli Mtindi, Sheikh Saadan Abdul Kandoro, Dr William Mwanjisi, Salehe Masasi, Minja Kukome,Ramadhan Mashodo na Joseph Mamphombe.
Wengine ni Chief Adam Sapi Mkwawa, Sheikh Amri Abeid, Chief Chabruma, Chief Wanzagi Warioba, Bhoke Munanka, Mzee John Rupia, Alhaj Amiri Jamal, Dr. Leader Starring, Bibi Lucy Lameck bila kukasahau kabibi Miss Wickens
Pia sio vibaya kuwataja na wale waliowaunga mkono wakoloni wakiongozwa na Mangi Mkuu, Chief Thomas Marealle aliyepewa kasri katika jiji la London.
 
Pia tusiwasahau Pius Lugangira, Hatty McGee, Zacasria Hanspope, Capt. Kadego, na wenzao; hawa ni watu pekee katika historia waliojaribu kupambana na ufisadi kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom