Majina Makubwa Siyo Nyerere na Karume tu: Ni pamoja na hawa...

Zakumi mbona umesahau babu zako waliosaini mikataba hewa na huyo Karl Peters!
 
Rose Muhando,Lady j dee,Kakobe,Getrude Lwakatare,mtume na nabii Josephat mwingira,mama Salma Kikwete,marcio maximo n.k
 
Isihaka Majaliwa, Samli ayoub, Mhando mdeve, Hamis fande, Madaraka selemani, Steven nemes, Peter Mhina, Lawrence Mtazama GAMA na wengine wengi VIVA MAJIMAJI FC enzi hizo wana lizombe wengine nimewasahau
DAR YOUNG AFRICANS- Aboubakar Salum sure boy, makumbi juma, juma mkambi, Charles boniface mkwasa, Allan Shomary, Abeid mziba, Lawrence Mwalusako, DAH! HAMIS KINYE,
Pamba FC-Joram mwakatika-Abass hamis magongo, John nteze lungu, Juma Amir, Muhidin Cheupe-
Nyota Nyekundu Fc-John Manyama, Steven Chibichi, DAH majina ni matamu sana kuyatamka haya Mengi nimeyasahau hawa wadau wanahitaji kuenziwa basi tu TFF sijui wako wapi ingawa hapa karibuni niemona wakijaribu jaribu kuwakumbuka
 
Yahaya Hussein, Ernest Kombe,James Mapalala, Edwin Mtei, Khatib Ghandhi(Mc Ghee),Paul Bomani, Sultan Jamshi Bin Abdullah, Sayyid Khalifa, Mtoro Rehani Kingo, Abdul Aziz A.K Twala, Abdallah Kassim Hanga, Othman Shariff, Thabit Kombo Jecha, Salmin Amour Juma........
 
Nyie wote !

Hivi hamwezi kufikiria kitu bkingine kichosibu jamii badala ya kutaja majina yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Sio nia yangu kuziba akli zenu lakini hii ni kupoteza maana ya Great thinkers. Huwezi kufikiria kikubwa kwa kutaja majina hata hoja yenyewe haijajengeka. Tuna matatizo kibao ya kuchambua nyie mwashinda na upuuzi. Kuna haja ya kuweka toll hapa jamvini. Kama mngekuwa mnanlipia hata huo muda mngetia akili au ingekula kwenu. Angalia msinishukie kama kunguru wa Zanzibar!!
 
Nyie wote !

Hivi hamwezi kufikiria kitu bkingine kichosibu jamii badala ya kutaja majina yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Sio nia yangu kuziba akli zenu lakini hii ni kupoteza maana ya Great thinkers. Huwezi kufikiria kikubwa kwa kutaja majina hata hoja yenyewe haijajengeka. Tuna matatizo kibao ya kuchambua nyie mwashinda na upuuzi. Kuna haja ya kuweka toll hapa jamvini. Kama mngekuwa mnanlipia hata huo muda mngetia akili au ingekula kwenu. Angalia msinishukie kama kunguru wa Zanzibar!!

Oh yah!! hii ndiyo JF mwenzangu kila kitu kinachabuliwa ndiyo sababu inaitwa "JF of Great thinkers". Hakiachwi kitu kipite hata kama ni story ya mama ntilie!!!! That's what JF is all about!!!
 
Nimesoma haya majina nimebaki na swali kichwani, majina makubwa kwa kazi wanazofanya au kwa tabia zao au kwa michango yao kwa taifa letu iwe positive au negative? Naomba kujua majina makubwa kivipi au wachangiaji ndio tunatoka nje ya mada kwa kuandika majina yaliyo nje ya lengo la mtoa mada?
 
Tusipoakuwa makini tutatengeneza sumu hapa, majina makubwa katika muktadha upi hasa. Kila upande una watu wake na wanatambulika sana! ukianzia siasa,elimu, sanaa na michezo, ufisadi, ubaradhuli na ufedhuli, na kila namna. Basi muhimu watambulike kwa makundi yao kuliko kuwataja kwa ujumla.
 
Hamis Kipara; Babu; Hamis Askari; Aloo Mwitu; Thabit Kombo; Juma Shaaban; Athumani Juma; Thabit Mgunda; Choke Abeid; Musa Kivura; Yusuf Abeid a.k.a Y; Makinga Shaaban; Ali Katolila; Mengi Amani; Ally Mikidadi; Sanifu Lazaro; Mavumbi Omari; Isihaka Mwitu; Joseph Mwakatika; Isaac Mwakatika; Juma Kimenya; Moshi Shaaban; Anthony Ngaiza; Said Swedi; Referee Mwevi; Mzee Mwakasala; Akilimali Snowhite; Nyamnyagula; Kipesha;
 
Last edited:
Kingwendu
mzee jangala
bambo
mzee majuto
joti
mpoki
bi kiriboto
zembwela
futuhi stars
kaduguda
dalali
madega
 
Fokas, Brown, Dunia Adonis. Aluu Ally, Vincent Mkude, Hussein Ngulungu, Ahmad Amasha, Zamoyoni Mogella, Miraji Salum, Peter Tino, Mohamed Salim, Abdurahman Jalala, Salim Omari, Mohamed Makunda, Omari Mahadhi, Saidi George, Bakari Jack, Prosper Mboya, Chia Masonga, Willy Kiango, Abdallah Shebe, David Mwakalebela, Ernest Mwambete, Khalid Bitebo, Madata Lubigisa, Anthony Nyembo, Abuu Juma , Mohamed Kajole, Daudi Salum, Adam Sabu, Mohamed Bakari “Tall”, Jumanne Hassan “Masimenti”, Shaaban Katwila, Sunday Manara, Kassim Manara, Adolf Rishard, Boi Wickens, Mohamed Mkweche, Ezekiel Greyson, Martin Kikwa, George Kulagwa, Abdallah Kibaden, Leodegar Tenga, Jella Mtagwa, Juma Pondamali, Malekano,
Selemani Nyambui, Filbert Bayi, Habib Kinyogori, Titus Simba, Emannuel Mlundwa, Gidemas Shahanga,

The home of great thinkers!
 
wengine ni

Chenge
Rostam Aziz
Samwel Sitta
Masha
J.Kikwete
Kingunge
Makamba


Mtei, Mengi, Bakhresa,........ Khadija Kopa, ....

Amatus Liyumba,
Mkapa,
Lowasa,
Kigoda,
Kigoma Malima


Dr. Mohamed Ali Juma, Salim Ahmed Salim, Rashid Kawawa ... Joseph Sinde Warioba
 
Back
Top Bottom