Majina maarufu ya Kihaya

Mpoki ni jina la Kinyakyusa, maana yake anayeponya au mponyaji...

Yule jamaa anayeigiza ucheshi anaitwa Mpoki Mjuni, anaonekana ni mixer ya Kihaya + Kinyakyusa.

Bila shaka mama ni Mnyaki na baba ni Mhaya...

wahaya bwana, kwa vile ukoo wa Mpoki ni maarufu wanaubadilisha kuwa wa kihaya
 
Back
Top Bottom