ERICK JUSTINE
Member
- Jan 24, 2012
- 8
- 0
karamagi,rweikiza.kagasheki,kamara,katemana,mbelwa
karamagi,rweikiza.kagasheki,kamara,katemana,mbelwa
yafuatayo ni baadhi...
Mjuni.
Kamugisha
Rwezaura
Rwebangira
Rwegasira
Mpoki
Kokushugela
Kaishozi.
...ongeza la kwao...
mpoki si la kihaya
yafuatayo ni baadhi...
Mjuni.
Kamugisha
Rwezaura
Rwebangira
Rwegasira
Mpoki
Kokushugela
Kaishozi.
...ongeza la kwao...
wahaya bwana, kwa vile ukoo wa Mpoki ni maarufu wanaubadilisha kuwa wa kihayaMpoki ingamu ja kukaja,kum'yetu...mpoki ni jina la kinyakyusa
batamuzi, mutayoba, bahemu, mtafungwawahaya bwana, kwa vile ukoo wa Mpoki ni maarufu wanaubadilisha kuwa wa kihaya
wahaya bwana, kwa vile ukoo wa Mpoki ni maarufu wanaubadilisha kuwa wa kihaya
Eibala lyange nka tililimu boojo!!!
Omwana kinyulinyuli ekyana kyo munyaihyangiro
Mashallah kumbe @ kapeace ni wa huko mi huwa ni fancy wako namba moja hujui tu yaan.
Katerero unaiweza?Asante sana kwa hili mtu wangu wa nguvu
Katerero unaiweza?
Naiweza ama siiwezi nini iko sida!!
We unataka uniajiri kwani?Kama huiwezi utakuwa umekosa sifa za asili za mashomile