Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 850
- 1,141
Kweli kabisa Mzee Shekilango alifariki muda na wanawe pia wanaitwa Shekilango na ni wazee tualifariki kwa ajali ya ndege hao watakua ndugu zake tu waliobaki
Kweli kabisa Mzee Shekilango alifariki muda na wanawe pia wanaitwa Shekilango na ni wazee tualifariki kwa ajali ya ndege hao watakua ndugu zake tu waliobaki
Ngoja Baharia wa Buza aje kukujibuHivi wakati uzi huu unaanzishwa Buza Kwa mpalange ilishakuwa established?
Sasa unauliza kila kitu, vingine ungetumia akili tu.Keko Magurumbasi
Magomeni
Afrika sana
Sinza Mori
Sinza kwa Remmy
Sinza Palestina
Mwenge
Mbezi Louis
Africana
Kijitonyama
Ubungo Kibangu
Ubungo Maziwa
Manzese
Tandale
Temeke
Kunduchi
Kimanzichana
Mbagala
Salasala
Kibamba
Kibamba Magarisaba
Kibaha
Buguruni
Kinondoni
Madale
Bunju
Boko
Tegeta
Goig
Makonde
Jogoo
Mabibo
Masaki
Oysterbay
Gongo la mboto
Ukonga
Kipawa
Chanika
Kigamboni
Mwanakwerekwe
Mkunazini
Mbagala Charambe
Shekilango
Sinza Mugabe
Sinza Mapambano
Changombe
Ilala
Ilala Boma
Kurasini
Makumbusho
Victoria
Mikocheni
..na maeneo mengineyo wenye kujua maana yake waweke hapa tuelimike na kujua maana ya sehemu tunazoishi
Picha bado ipo mkuu mwanzoni ilikuwa sanamu ya picha ya ndege ya mbao miaka ya 2000 eneo lile alipanunua mtu mmoja mchaga anaitwa LEKASHINGO aka mbwa haruki akajenga bar nzuri na ile picha ikawa ya batikulikuwa na sanamu pia ya picha ya ndege barabarani kabisa cjui kama bado ipo hiyo bar itakuwa iliikuta hiyo picha kwani ni mwanzalishi wa eneo hili ndo aliwekaga
Ninasema'ivii?gongo la mboto
mboto ni jina la mtu na alikuwa anauza gongo kwaiyo watu wakawa wanasema nakwenda kunywa gongo la mboto ndo likawa jina mpaka leo