Majina haya, kwanini maeneo haya yalipewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina haya, kwanini maeneo haya yalipewa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sipo, Feb 10, 2010.

 1. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Keko Magurumbasi
  Magomeni
  Afrika sana
  Sinza Mori
  Sinza kwa Remmy
  Sinza Palestina
  Mwenge
  Mbezi Louis
  Africana
  Kijitonyama
  Ubungo Kibangu
  Ubungo Maziwa
  Manzese
  Tandale
  Temeke
  Kunduchi
  Kimanzichana
  Mbagala
  Salasala
  Kibamba
  Kibamba Magarisaba
  Kibaha
  Buguruni
  Kinondoni
  Madale
  Bunju
  Boko
  Tegeta
  Goig
  Makonde
  Jogoo
  Mabibo
  Masaki
  Oysterbay
  Gongo la mboto
  Ukonga
  Kipawa
  Chanika
  Kigamboni
  Mwanakwerekwe
  Mkunazini
  Mbagala Charambe
  Shekilango
  Sinza Mugabe
  Sinza Mapambano

  Chang’ombe
  Ilala
  Ilala Boma
  Kurasini
  Makumbusho
  Victoria
  Mikocheni
  ………..na maeneo mengineyo wenye kujua maana yake waweke hapa tuelimike na kujua maana ya sehemu tunazoishi
   
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ina maana kuwa hamjui maana ya sehemu mnazoishi??? ajabu kweli hii
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  gongo la mboto

  mboto ni jina la mtu na alikuwa anauza gongo kwaiyo watu wakawa wanasema nakwenda kunywa gongo la mboto ndo likawa jina mpaka leo
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  banana
  kulikuwa na baa moja ya mchaga mmoja alikuwa kapteni wa ndege za jeshi pale airwing alikwenda moshi akapakia mgomba akaja kupanda pale banana sasa hivi kuna petrostasheni ya gapco kwa sasa
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Asante, angalau wewe bra unafahamu maana ya eneo unaloishi, wengine wako wapi????? nimekugongea thanks kwa ujasiri wako
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145

  ucjali nitakupa mengine ss hivi ila thanks umegonga moja tu kwenye 2
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ubungo maziwa

  mwanzo ilikuwa inaitwa ubungo baada ya kuwekwa kiwanda cha maziwa ikaitwa ubungo maziwa mpaka kesho
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nimegonga kwenye zote bra
  Itabidi unipe na maana za maeneo haya
  Kimara Stop Over
  Kimara Baruti
  Kimara Korogwe
  Kimara Suka
  Mbezi kwa Msuguri
  Mbezi Kibanda cha Mkaa
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  sinza kwa remmy

  ni baada ya dr remmy kuamia pale barabarani kabisa kama ujuavyo waswahili atutaki kuumizwa vichwa jina rahisi ikawa sinza, sinza gani pale kwa remmy jina likazaliwa tayari
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mbezi kwa msuguri

  ni baada ya temboni hili jina ni baada ya cdf wetu mtaafu mzee msuguri kuhamia hapo na kujenga nyumba yake na kuweka makazi yake kabla ya kuhamia musoma so kama kawa likazaliwa jina mbezi kwa msuguri
   
 11. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #11
  Feb 10, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umedanganya Gongo ni neno la Kizaramo lenye maana ya shamba na Mboto ni rutuba kwa maana hiyo Gongo la mboto ilipewa jina hilo kufuatiw eneo hilo kuwa lenye rutuba.

  Na Banana ni kweli kuliwa nahiyo Bar lakini hakuna habari ya mgomba wala mdizi.

  Kijana wacha ulongo
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  mmmmh ulikuwa wapi?mbn unavuta shuka kumekucha?
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sasa Mazee Azikiwe yeye bra drphone hiyo ndio maana anayoijua kwahiyo hajadanganya ila kwa hii maana uliyoitoa ndio hoja inaibukia hapo ili tupate ukweli wa maana ya eneo husika.
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  kimara stopover
  nikituo kinachofata baada ya kmara mwisho hili jina lilikuja hapo zamani mizani ilikuwaga pale ubungo kabla ya kuhamia kibaha so kulikuwa na bango kubwa sana lililoandikwa stop over bar so malori mengi yalikuwa yanasimama hapo kwanza na kupata moja moto moja baridi nakuendelea na safari likawajina mpaka leo nalile bango silionagi siku hizi
   
 15. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nasubiri uniambie maana ya eneo unaloishi da Pearl
   
 16. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbu wa asubuhi wamemwamsha akavuta shuka hehe...Mie ntasema kwa remmy ndo nakujua maana ake kuna mwanamziki Remmy ongara anaishi pale....
   
 17. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mazee upo deep kwakweli
  Na wale wanaoishi maeneo ya
  Mbezi Tanki Bovu
  Mbezi Samaki
  Mbuyuni
  Morocco
  Posta
  Kariakoo
  etc etc etc mtupe maana ya maeneo mnayoishi
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  pls kabla ujanituhumu na kuniita mwongo tafuta historia kwanza ya eneo husika acha tafsiri za maneno moja moja
   
 19. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  FirstLady1
  Tupe maana ya eneo lolote hapo mumy hata kama weye waishi mamtoni
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  kibanda cha mkaa

  nikituo kinachofata baada ya kwamsuguri kunakituo cha msaada then unaingia kibanda cha mkaa kama lilivyo jina palikuwa na kibanda kinauza mkaa ila kwa sasa pamekuwa pakubwa so baada ya barabara kubwa hii kujengwa watu wakawa waakitaka kusema unaposhuka unasemaa msaada kwenye kibanda cha mkaa likawajina kikawa kituo siku hihi
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...