Majina halisi ya watu mashuhuri

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,616
7,863
Jesus Christ (Yeshua Ben Yosef)
Mother Teresa of Calcutta (Agnes Gonxha Bojaxhiu)

Mahatma Gandhi (Mohandas Karamchand Gandhi)
Kim Il Sung (Kim Song Ju)
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga (Joseph-Dsir Mobutu)

Alicia Keys (Alicia Augello Cook)
Alpha Blondy (Seydou Kon)
Babyface (Kenneth Edmonds)
Billy Ocean (Leslie Charles)

Burning Spear (Winston Rodney)
Elton John (Reginald Kenneth Dwight)
Eminem (Marshall Mathers III)
Eric Clapton (Eric Clapp)

Ice Cube (O'Shea Jackson)
LL Cool J (James Todd Smith)
Mariah Carey (Maria Nuez)
Queen Latifah (Dana Owens)

Stevie Wonder (Steveland Morris)
The Notorious B.I.G. (Christopher Wallace)
Vanilla Ice (Robert Van Winkle)
Ziggy Marley (David Nesta Marley)

2Pac (Tupac Shakur - born Lesane Crooks)
50 Cent (Curtis Jackson)
Muhammad Ali (Cassius Marcellus Clay Jr.)

Please add.....
 
JK (Jakaya Kikwete)
Bill Clinton (William Jefferson Clinton)
 
Last edited:
mbona na haya hamuweki majina halisi yao, ni mashuhuri pia au?

Invisible
SMU
Baba Watatu
Bubu Ataka kusema
Mwanakijiji
Kevo
Iceberg
Ab Titchaz

au siyo mashuhuri nn??
 
mbona na haya hamuweki majina halisi yao, ni mashuhuri pia au?

Invisible
SMU
Baba Watatu
Bubu Ataka kusema
Mwanakijiji
Kevo
Iceberg
Ab Titchaz

au siyo mashuhuri nn??

Wengi wa hao ni mashuhuri hapa JF tu :)!
 
JK (Jakaya Kikwete)
Bill Clinton (William Jefferson Clinton)

Nyauba,

Billy ni kifupi cha jina William. Hapa hakuna mabadiliko yoyote.

Ngoja na mimi niongeze wangu:-


Fresh Jumbe (Fereshi Jumbe).
Barack Obama (Baraka Obama).
Prince (Prince Rogers Nelson).
Rihanna (Robyn Rihanna Fenty).
Jay-Z aka {Jigga, H.O.V.A., Jigga Man } (Shawn Corey Carter).

NB: AFC Leopard (Abaluya Football Club)
FIAT (Fabbrica Italiana di Automobili Torino)
IVECO (Industrial Vehicles Corporation)
K.L.M. --- :) KEEP in LOVING ME ?!!!
 
mbona na haya hamuweki majina halisi yao, ni mashuhuri pia au?

Invisible
SMU
Baba Watatu
Bubu Ataka kusema
Mwanakijiji
Kevo
Iceberg
Ab Titchaz

au siyo mashuhuri nn??

Mtanzania - (D.S. Wittiga)
 
Nyauba,

Billy ni kifupi cha jina William. Hapa hakuna mabadiliko yoyote.

Ngoja na mimi niongeze wangu:-


Fresh Jumbe (Fereshi Jumbe).
Barack Obama (Baraka Obama).
Prince (Prince Rogers Nelson).
Rihanna (Robyn Rihanna Fenty).
Jay-Z aka {Jigga, H.O.V.A., Jigga Man } (Shawn Corey Carter).

NB: AFC Leopard (Abaluya Football Club)
FIAT (Fabbrica Italiana di Automobili Torino)
IVECO (Industrial Vehicles Corporation)
K.L.M. --- :) KEEP in LOVING ME ?!!!
sikonge..

hayo majina ya magari ya kiitaliano umenikonga sikuwa mjuvi nayo zaidi ya vifupi vyake.
ila majina ya wadau juu mhmmmmmm labda jay z na rihanna...fresh jumbe na obama sioni jipya ni sentensi tuuuu
 
sikonge..

hayo majina ya magari ya kiitaliano umenikonga sikuwa mjuvi nayo zaidi ya vifupi vyake.
ila majina ya wadau juu mhmmmmmm labda jay z na rihanna...fresh jumbe na obama sioni jipya ni sentensi tuuuu


Usiwe na uhakika namna hiyo. Nasikia huyu mtu aliyekuwa akijiita BATENGAS alikuwa akiliza watu kwa kuandika jina lake Batenga. Sasa ukiingia mkenge na kuchukua makaratasi basi anakuruka kuwa yeye ni BatengaS na siyo Batenga. Hivyo hiyo S inaweza kukuliza ndugu yangu. Kwa maana hiyo Barack akiweka sahihi Baraka, najua itakataliwa kuwa ni BATILI.

NB: BMW (Bavarian Motor Works au Bayerische Motoren Werke)
VW (VolksWagen soma Folks Wagen --- People's Car)
ATC (Any time Cancellation aka Air Tanzania Corp.)
 
Kweli JF unapata kila kitu...... hata vituko when you are down!
 
KONYAGI - Kunywa Ondoa Niashai Yote Angalia Gongo Inauwa. ukianzia herufi ya mwisho kwenda mwanzo, Ingawa Gongo Adui Yangu Nina Okoa Kipato.
 
KONYAGI - Kunywa Ondoa Niashai Yote Angalia Gongo Inauwa. ukianzia herufi ya mwisho kwenda mwanzo, Ingawa Gongo Adui Yangu Nina Okoa Kipato.

Damn, katika yote hii imeniacha hoi. Sijawahi kuwaza kirefu, tena katika pande zote mbili za neno lenyewe.
 
Jamani, I thought hii thread inajadili majina ya watu tu, sasa mbona naona mafiati na makonyagi humuhumu? Au nayo ni majina ya watu?

Lady Jay Dee- Judith Wambura
Kally Ongallah- Kalimangonga Ramadhani Mtoro Ongara.
AY- Ambwene Yesaya
Solo Thang- Msafiri Kondo
King Crazy GK- Gwamaka Kaihula
Mwana FA- Hamisi Mwinjuma
TID- Khalid Salum Mohamed..

Nimeona niwarudishe nyumbani kidogo kwa masupastaa wetu, tuendelee...
 
Mashirika ya habari

BBC - Barely Believable Content
CNN - Certainly Not News
ABC - Already Been Covered
 
Back
Top Bottom