bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,167
Bishanga naye yupo hai kweli?king,una akili sana wewe!
Bishanga naye yupo hai kweli?
Tunakujua ukishakufa tutakutaja na kukuombea usijari.masikini mimi ambaye hakuna ajuae jina langu halisi nikifa sijui wana jf wenzangu watajuaje nimekufa?
hata hivyo nitajivunia hata huko niyakapokuwa kuwa nilikuwa member wa forum muhimu kwa jamii ya JF.
and i will tell ma self RIP me.
Umemisika na mimiMMmmmmhhhhhhh..........
Duh@faiza foxy tenaa loohFaiza Fox, Mwita25 na Rejao wako hai kweli? nauliza tu jaman i miss they comments
Safi Sana kumbe bado upoNisiposign in siku nzima hapaJF mjue nime kufa mniombee!
Ndio maana Mimi niliamua kuja na verified user, ili nikifa walau mnitakie RIP wanajf wenzangu!!masikini mimi ambaye hakuna ajuae jina langu halisi nikifa sijui wana jf wenzangu watajuaje nimekufa?
hata hivyo nitajivunia hata huko niyakapokuwa kuwa nilikuwa member wa forum muhimu kwa jamii ya JF.
and i will tell ma self RIP me.
yu hai sanaBishanga naye yupo hai kweli?
My blood brother...R.I.P MwamdemuKuna jamaa pia tulikuwa naye Swiss Aid akiitwa Justin Mdemu mtu wa Iringa alikufa ghafla akiwa kikazi Kigoma
Usipate tabu Iron Lady niko hapa Mimi nikujuaye A - Zmasikini mimi ambaye hakuna ajuae jina langu halisi nikifa sijui wana jf wenzangu watajuaje nimekufa?
hata hivyo nitajivunia hata huko niyakapokuwa kuwa nilikuwa member wa forum muhimu kwa jamii ya JF.
and i will tell ma self RIP me.