Majina 403 ya wauza unga yaanikwa: Ni Watanzania waliokamatwa ughaibuni

Bahati Mbaya zaidi badala ya kujadili mada iliyopo mnaanza Kujadili Majina ya wazungu na Waarabu Ukienda ukienda ukienda uarabuni ni kitu cha kawaida kumuona Hamis amevaa kanzu na Kibaragjashia akielekea kanisani Sisi waafrika/watanzania majina yetu ni Masanja, Ngolo n.k haya ya Hamis au Peter haya yote yalikuja kwa meli tu tuko vijijini huku tunakaa na kina John hata kanisa hawalijui kuna Kina Hamis hata mlango wa msikiti hawaujui. Turudi kwenye sula la msingi tuachane na haya majina ya kizungu na kiarabu
 
nimesoma kwa makini sana ila najiuliza kwa nn list kubwa ni waislam na hata ukifanya uchunguzi kesi za ajabu ajabu wanao ongoza ni waislam ni mtazamo wangu tu

Unajidanganya uislamu siyo majina, uislamu ni imani ambayo mtu yeyote anaweza kuwa nayo hata John, Othman na Janet

Almuradi amemuamini Mola aliyeumba mbingu na ardhi, Mtume Muhamad (SAW) na aliyokuja nayo na kuamini siku ya mwisho (kiama).
 
ukweli ndiyo huo linganisha matukio yanayo endelea alshabab, boko haram na ali kaida hatukatai hata wakristo wapo lakini huwezi linganisha na waislam kwa matukio, nenda mahakaman ndo utajua namaanisha nini

Nilisha wambia na narudia tena kusema kwamba watu hawa ni janga la dunia na nathubutu kusema ili dunia iwe pahala salama kwa wanadamu si vema watu hawa kuwepo
 
Unajidanganya uislamu siyo majina, uislamu ni imani ambayo mtu yeyote anaweza kuwa nayo hata John, Othman na Janet

Almuradi amemuamini Mola aliyeumba mbingu na ardhi, Mtume Muhamad (SAW) na aliyokuja nayo na kuamini siku ya mwisho (kiama).
tatizo lenu lipo hapo tu kwamba hata mnapoambiwa ukweli bado huwa mnaleta ubishi wa kipumbavu
 
Acha hizo hata Wakirsto ni wengi pia;
Sipendi mnavyokimbilia kwenye imani za watu.
Wapo Waislam wengi ambao ni wasafi kuliko hata nyie.

Wewe unawasemea hivyo lakini wao wanaona Wakristu wote wachafu!
 
Sasa ni Ukristo vs. Uislamu.
Mods mbona hii ni kinyume na Rules za jf?
Fungieni uzi huu.
 
Suala la madawa ya kulevya ni janga la jamii nzima. Hakuna kundi lolote lilo salama. Huwezi kuwa na uhakika wa amani kama jirani yako/mtoto wa jirani ni mwathirika wa sembe. Ingependeza sana kama maoni ya kuchagia humu ingekuwa kujenga jamii kuliko mkondo wa imani. Watanzania ni wamoja pamoja na tofauti zetu. Narudia: Hakuna kundi salama. Tuwanyime kura wauza unga, wanafahamika mtaani. Mtoto wa mshuwa kasevu, jamaa ninja.

Sahihi kabisa badala ya kujadili dini na makabila ya wengi waliondikwa hapo juu tujadili issue ya msingi ambayo ni kukomesha biashara ya madawa ya kulevya na matumizi yake.

Watanzania baadhi yetu tunaishi kinafiki hatupendi kukiri udhaifu wetu,tunapenda kuwasingizia wengine kwa matatizo tuliyo jisababishia wenyewe. Hii kitu ilipoanza tulikua tunawasingizia Wanageria na Wasomali kwamba ndio wanatumia Passport zetu kufanya hii biashara. Sasa unafiki wetu upo wazi. Wajinga wanaanza kusingizia dini ya watu!
 
hii ni mbaya kwa ustawiwa nchi ila serekali ni sehemu ya biashara hiyo ndiyo maana mapapa awakamatwii hata wakitajwa na kinachofanyika ni usani tu
 
tatizo lenu lipo hapo tu kwamba hata mnapoambiwa ukweli bado huwa mnaleta ubishi wa kipumbavu

Abuu Lahab ni mjomba wa Mtume wetu Muhammad (SAW) ametoka katika kabila la Mtume Muhammad Alkuraish kule Makka ambalo ni kabila tukufu, na kwa mujibu wa historia ya kiislam huyu aliukataa uislamu na alimpinga Mtume na kwa mujibu Quran tukufu Suratul Lahab imeelezea wazi wazi kwamba ameangamia na siku ya malipo ataingizwa motoni.

Hii ni kuonyesha kwamba uislamu siyo majina wala ukoo kama udhaifu wenu wakiristo munavyoona katika dini yenu. wewe unaweza kuwa muslamu na jina lako hilo hilo na ukaingia peponi inshaalah.,

Muislamu wa kweli hawezi kufanya biashara ya madawa ya kulevya. Karibu sana.
 
Jamani dini yangu! Tuzae kwa mpango sasa ili tuwasomeshe wanetu kama wafanyavyo upande wa pili. Sio tunazaa wengi na kuwaacha wazagae tu kama vifaranga wasiokuwa na mama. Matokeo yake ndo haya.
 
Nahao wakristo walokamatwa nao hawakwenda shule au maana nyinyi wote mmeenda shule sasa hao sijui kimewapata nini. ....kwa mtizamo wangu shule sio ishu hapa madawa asilimia 90 yanapitia pwani so lazima wawe wahannga wa kwanza. ..ukiangalia nchi zingine wahanga ni wakristo kwa Tanzania sababu Ni Pwani...
 
Elimu Dunia ndio kila kitu, lakini ukweli ni kuwa Umasikini unachangia pia, maana na hiyo Elimu yenyewe ya ukweli na uwakika ni gharama sana.
hili liko wazi kwa hiyo wakristo hela walikua wanazitoa wapi.........je walikua wana baniwa au wenyewe ndo walikua wanajipiga pini hawataki kusoma mbona kwa ss wanakomaa na shule....
 
Nahao wakristo walokamatwa nao hawakwenda shule au maana nyinyi wote mmeenda shule sasa hao sijui kimewapata nini. ....kwa mtizamo wangu shule sio ishu hapa madawa asilimia 90 yanapitia pwani so lazima wawe wahannga wa kwanza. ..ukiangalia nchi zingine wahanga ni wakristo kwa Tanzania sababu Ni Pwani...
hoja ni kwamba kwa nn wao wamekua wengi ndo nikatoa mfano nendeni mahakamani au linganisha na matukio ya ss ivi
 
Abuu Lahab ni mjomba wa Mtume wetu Muhammad (SAW) ametoka katika kabila la Mtume Muhammad Alkuraish kule Makka ambalo ni kabila tukufu, na kwa mujibu wa historia ya kiislam huyu aliukataa uislamu na alimpinga Mtume na kwa mujibu Quran tukufu Suratul Lahab imeelezea wazi wazi kwamba ameangamia na siku ya malipo ataingizwa motoni.

Hii ni kuonyesha kwamba uislamu siyo majina wala ukoo kama udhaifu wenu wakiristo munavyoona katika dini yenu. wewe unaweza kuwa muslamu na jina lako hilo hilo na ukaingia peponi inshaalah.,

Muislamu wa kweli hawezi kufanya biashara ya madawa ya kulevya. Karibu sana.
wewe umeelimika sana una upeo mkubwa sana wa kimtazamo
 
Mbona Wengi Ni WALE WA KULE, WACHEZA BAO NA KUNYWA KHAHAWA NA KASHATA. Haya Sasa Tukiwaambia Mwende Shule, Mkazania Ku TWANGASI BOBOSU Haya Sasa.

We Wakuja! hapo ni jiografia ya makazi tu ,wakazi wa pwani wanajulikana nyie mmeabiri tu maeneo haya!nas siju nani aliyekudanganya kama watu wa sembe hawajaenda shule we mbwiga!au hujui kama "serikali"sembe linawahusu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom