Majimbo zaidi ya kumi kufanyika uchaguzi mdogo kabla ya mwaka 2015

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
ni kauli ya msajili wa vyama alipokuwa akihojiwa TBC mda mchache uliopita kuhusiana na uchaguzi wa igunga alipokuwa akitoa maoni yake kuuhusiana na kesi za uchaguzi zilizoko mahakamani,matumaini yangu ni kuwa kwa lema,mbowe,wenje,highness,mr two nk yapo kwenye list ya kukombolewa kutoka kwa magwanda!
 
Hivi wewe wa magamba huna kazi za kufanya badala yake unaleta unafiki wako humu JF? Kwa hao wote uliowataja hakuna kesi ambayo wa magamba wenzako watashinda kesi ****** weee!!!
 
ni kauli ya msajili wa vyama alipokuwa akihojiwa TBC mda mchache uliopita kuhusiana na uchaguzi wa igunga alipokuwa akitoa maoni yake kuuhusiana na kesi za uchaguzi zilizoko mahakamani,matumaini yangu ni kuwa kwa lema,mbowe,wenje,highness,mr two nk yapo kwenye list ya kukombolewa kutoka kwa magwanda!

Kwani huwezi kula kunywa kunya,bila kuifuatilia Chadema kwa mabaya!??.
 
CHADEMA wanaweza kufika 2015 na majimbo 120, maana kuna wengi sana hapo ccm
ngoma inawatafuta taaratibu. wameshabadili sana damu, na haya ma stress ya siasa ndio kabisa wanajiwaisha kaburini
kuwa wengine wako india mwezi wa nne sasa huu wa matibabu
 
Amedata huyo! Anana naye, hayo madudu waliyofanya wana magamba uchaguzi 2010 ukiamua kuwapeleka mahakamani nchi itakuwa haina rais
 
Huyo hakumuelewa vizuri,alimanisha magamba wataachia ngazi majimbo 15 tukianza na Chenge,Magufuli,Jason Rweikiza,mwandosa,nchimbi,ghasia,kagasheki,lukuvi,nyangwine etc
 
Back
Top Bottom