Majimbo yote ya ubunge Dar es salaam chini ya UKAWA 2015?

MWANASHERIA

Member
Aug 20, 2010
84
11
Nilikua natafakari hapa Mwenyewe, nikaona niwashirikishe. Eti kwa mtazamo wangu nahisi, kwa muungano huu wa UKAWA, majimbo yote ya uchaguzi yanaweza kupata wabunge wa Upinzani mwaka 2015. Wadau mnaonaje kwa kuangalia wabunge hawa walioko kwenye majimbo sasa hivi, au in case vyama vyao vikawabadirisha?

Ubungo
John Mnyika
Segerea
Makongoro Mahanga
Temeke
Abbas Mtemvu
Kawe
Halima Mdee
Kinondoni
Idd Azan
Ilala
Musa Azan Zungu
Kigamboni
Faustine Ndungulile
Ukonga
Eugne Mwaiposa
 
Weka matokeo ya Uchaguzi wa wabunge kwa vyama vyote kwa majimbo haya 2010.
 
Determinant ni wapiga kura wa maeneo hayo!.

Ubungo

John Mnyika -Ingawa ameshindwa kudeliver kitokana na mtimanyongo wa CCM kutaka kumkwamisha, atarejea kwa sababu juhudi zake zimeonekana na 80% ya Wana Ubungu ni "jamaa zetu" wa "kwetu kulee!"
SegereaMakongoro Mahanga-Huyu anaondoka, hata CCM hawa risk kumsimamisha tena, ila jimbo liko 50% 50% CCM au Ukawa!.
TemekeAbbas Mtemvu -Huyu anaondoka, na CCM inang'ooka ila mgombea lazima atoke CUF na avae Balaghashia!.
KaweHalima Mdee- Kufuatia Mdee kuchaguliwa ni Mwenyekiti wa Bawacha, wana KAWE, watampunzisha ubunge ili asitingwe zaidi ya alivyotingwa sasa. Ukawa wakimsimamisha any competent candidate, wana retain KAWE, akirudishwa Mdee, Kawe is gone!.
KinondoniIdd Azan -Huyu ni gone case, hata CCM haitathubutu na mwenyewe nadhani anajua na hata gombea. CCM ikiweka competent man, itaretain, UKAWA wakiweka competent man, Kinondoni wanachukua!.
IlalaMusa Azan Zungu-Huyu ni mtoto wa mjini, CCM itaretain, na hata wakibadilisha bado CCM ndio watachukua!.
KigamboniFaustine Ndungulile -Japo Ndungulile is doing so well, Ukawa wakimsimamisha mtu wa Kibaraghashia, Ndugu, atapigwa chini!.
UkongaEugne Mwaiposa-Huyo anaondoka, CCM haitampitisha tena, ila jimbo linarudi CCM, Ukonga ni eneo la Mandata, Wajeda na mabwana Jela, hawa wote ni CCM!.

Pasco
 
*Kama wapinzani wataungana (UKAWA) dhidi ya CCM wananchi 47% wataipigia kura CCM na 28% UKAWA huku 19% wakipiga kura kulingana na mtu #TZ2015
 
Determinant ni wapiga kura wa maeneo hayo!.

Ubungo

John Mnyika -Ingawa ameshindwa kudeliver kitokana na mtimanyongo wa CCM kutaka kumkwamisha, atarejea kwa sababu juhudi zake zimeonekana na 80% ya Wana Ubungu ni "jamaa zetu" wa "kwetu kulee!"

SegereaMakongoro Mahanga-Huyu anaondoka, hata CCM hawa risk kumsimamisha tena, ila jimbo liko 50% 50% CCM au Ukawa!.

TemekeAbbas Mtemvu -Huyu anaondoka, na CCM inang'ooka ila mgombea lazima atoke CUF na avae Balaghashia!.
KaweHalima Mdee- Kufuatia Mdee kuchaguliwa ni Mwenyekiti wa Bawacha, wana KAWE, watampunzisha ubunge ili asitingwe zaidi ya alivyotingwa sasa. Ukawa wakimsimamisha any competent candidate, wana retain KAWE, akirudishwa Mdee, Kawe is gone!.
KinondoniIdd Azan -Huyu ni gone case, hata CCM haitathubutu na mwenyewe nadhani anajua na hata gombea. CCM ikiweka competent man, itaretain, UKAWA wakiweka competent man, Kinondoni wanachukua!.
IlalaMusa Azan Zungu-Huyu ni mtoto wa mjini, CCM itaretain, na hata wakibadilisha bado CCM ndio watachukua!.
Kigamboni
Faustine Ndungulile -Japo Ndungulile is doing so well, Ukawa wakimsimamisha mtu wa Kibaraghashia, Ndugu, atapigwa chini!.
UkongaEugne Mwaiposa-Huyo anaondoka, CCM haitampitisha tena, ila jimbo linarudi CCM, Ukonga ni eneo la Mandata, Wajeda na mabwana Jela, hawa wote ni CCM!.

Pasco

Kwa hisani yako Pasco !
Mwelekeo ulioonyesha onaweza kuwa kivingine kabisa.

Ubungo

Hapa uko sawa!

SegereaJimbo liko below 40% CCM na zaidi ya 50% UKAWA kama wataweka right man!

TemekeHapa uko sahihi.
Kawe
Hapa uko sahihi.
KinondoniHapa uko sahihi
IlalaHapa uko wrong-UKAWA wakimweka mtu sahihi jimbo hili wanachukua!
KigamboniHapa uko sahihi
UkongaHapa uwezekano ni 45ccm 55 UKAWA.

refer.''
Bw. Gabrieli alimtanga Dkt. Makongoro Mahanga (CCM) kuwa mshindi baada ya kupata kura 43,554 na kumpita mpinzania wake, Bw. Fredy Mpendazoe (CHADEMA) aliyepata kura 39,150 wakiwa na tofauti ya kura 4,404.''
 
Last edited by a moderator:
Kwa hisani yako Pasco !
Mwelekeo ulioonyesha onaweza kuwa kivingine kabisa.

UbungoHapa uko sawa!
SagerJimbo liko below 40% CCM na zaidi ya 50% UKAWA kama wataweka right man!

TemekeHapa uko sahihi.
Kawe
Hapa uko sahihi.
KinondoniHapa uko sahihi
IlalaHapa uko wrong-UKAWA wakimweka mtu sahihi jimbo hili wanachukua!
KigamboniHapa uko sahihi
UkongaHapa uwezekano ni 45ccm 55 UKAWA.

refer.''
Bw. Gabrieli alimtanga Dkt. Makongoro Mahanga (CCM) kuwa mshindi baada ya kupata kura 43,554 na kumpita mpinzania wake, Bw. Fredy Mpendazoe (CHADEMA) aliyepata kura 39,150 wakiwa na tofauti ya kura 4,404.''

Mkuu Mp Kaliksi,
IlalaHapa uko wrong-UKAWA wakimweka mtu sahihi jimbo hili wanachukua!-UKAWA Wachukue jimbo lenye IKULU?, OMG!, how?!. Ogopa sana majimbo yenye Wahindi, na uswazi wenye njaa kali!.
Pasco.
 
Mandata, Majeda, Wajelajela sio Ccm, 90% ni Ukawa......
Sii mchezo, hao wote sio raia, wanafuata kwanza amri, maelekezo yatatoka wapige kura wapi!, kwani kule Zanzibar, ni wapi wanapowapigiaga bao CUF, kabla ya uchaguzi, hawa jamaa husombwa na kupiga kambi kule kujazia kura!.

Pasco.
 
Wanaweza kuamua kugawa majimbo ya DAR ili watawala nao waambulie japo moja
 
Afadhali yaende huko kwa kuwa mbunge wa city centre hashughulikii suala la maji katika maeneo haya. Ni wiki ya 3 running hakuna maji and nobody cares. Inasemekana wazito wamechimba visima so they don't care. Pengine watapatikana watu wa kushughulikia maji.
 
Mkuu Mp Kaliksi,
IlalaHapa uko wrong-UKAWA wakimweka mtu sahihi jimbo hili wanachukua!-UKAWA Wachukue jimbo lenye IKULU?, OMG!, how?!. Ogopa sana majimbo yenye Wahindi, na uswazi wenye njaa kali!.
Pasco.
Na rais akitoka UKAWA utasemaje? Nani kakwambia kuwa ikulu ni mali ya CCM?
 
Kusem ukweli wale wahindi wa upanga ni kisutu90% ni ccm piga ua! Itakuwa ngum mpinzan kuchukua ilala kwa sabab kwa mda wote miaka50+ ccm ilokaa madarakani hawa wahondi ndio walifaidika na stl wanafaidika na mfumo(dhalimu) wa utawala uliopo
 
mnyika ubungo msimuweke kabisa, wekeni mtu mwingine la sivyo jimbo linaenda ccm. hata mimi nitapiga ccm kama mnyika atagombea tena.
 
Na rais akitoka UKAWA utasemaje? Nani kakwambia kuwa ikulu ni mali ya CCM?
Mkuu Hono, kumbe wewe hufahamu kuwa CCM imeumbwa kututawala milele?!. Bila CCM nchi hii itakuwa haitawaliki!.

CCM ndio chama pekee chenye hatimiliki ya kutawala Tanzania, ndio maana hata tukiuzungumzia urais wa 2015, tunamzungumzia mgombea wa CCM, japo kuna watu humu hupenda kujifariji na wale wasindikizaji!.

Pasco
 
]Sii mchezo, hao wote sio raia, wanafuata kwanza amri, maelekezo yatatoka wapige kura wapi!, kwani kule Zanzibar, ni wapi wanapowapigiaga bao CUF, kabla ya uchaguzi, hawa jamaa husombwa na kupiga kambi kule kujazia kura!.

Pasco.

Pasco kwenye sanduku la kura hakunaga amri, nimefanya utafiti askari wengi ni wanamageuzi, nina marafiki wengi sana katika polisi na jwtz, nina uhakik
a ninachokisema.
 
Mkuu Si Mchezo, hivi kweli akili yako inakutuma kabisa, Mwamunyange, Mangu na Othman na vijana wao, watampigia saluti nanihii?!. Waulize kama wamewahi hata kufikiria au kufanya mazoezi ya "Change of arms" kwa kufikiria uwezekano wa utawala mwingine zaidi ya CCM?!. Hapo Zanzibar tuu, kila siku "sharubu" anashinda ila hatangazwi!, itakuwa nchi?!.

Urais unatolewa not by voting, bali by vetting!.

Pasco
 
Mkuu Mp Kaliksi,
IlalaHapa uko wrong-UKAWA wakimweka mtu sahihi jimbo hili wanachukua!-UKAWA Wachukue jimbo lenye IKULU?, OMG!, how?!. Ogopa sana majimbo yenye Wahindi, na uswazi wenye njaa kali!.
Pasco.

Kwa hiyo umejiridhisha kuwa UKAWA hakuna wanachama Mhindi au?
Wabongo wengi kwa sasa wamebadilika kidogo,watakula pesa zako alafu kura usipate.
.Ikulu si kigezo kwani inawakaazi wanjapi.
Siasa ni mchezo unadhani ya mwaka 2010 yaweza kuwa sawa na 2015?

Mimi na dhani toka awali kosa ya Vyama hivi ni kukosa mwakilishi sahihi wa jimbo hili,na kutokufanya mkakati wa kupanua wigo wa wanachama-kwa ujio wa UKAWA hali ya Jimbo hili laweza kuwa tofauti.

[h=3]
Kikwete mil 3.398, Dk. Slaa mil 1.290, Lipumba ... - Home
[/h]
ILALA

Kuga 86, Kikwete 24,737, Dk Slaa 10,008, Lipumba 4,130, Rungwe 35, Muttamwega 15 na Dovutwa 10.

DAR ES SALAAM
MANISPAA YA ILALA
ILALA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
ZUNGU MUSSA AZZAN
CCM
25,940 66.77
NAOMI MWAKYOMA KAIHULA
CHADEMA
8,053 20.73

Back
Top Bottom