Majimbo ya Wabunge Walionesha Msimamo Sakata la ESCROW Natoa Rai Wabaki 2015

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,154
13,223
Sakata Hili limewagawa wabunge waziwazi na nami naweka takwimu zangu;

Majimbo ya Wabunge walioonesha Msimamo

 1. David Kafulila-Man of the Match
 2. Deo Filikunjombe
 3. Luhaga Mpina
 4. Serukamba
 5. Ole Sendeka
 6. Hamis Kigwangala
 7. Zitto Kabwe
 8. Freeman Mbowe
 9. Tundu Lissu
 10. John Mnyika
 11. Mwigulu Mchemba
 12. Lekule Laizer
 13. Kangi Lugola
 14. Halima Mdee
 15. ........................................
 16. ...........
 17. ................
 18. .................
 
Sakata Hili limewagawa wabunge waziwazi na nami naweka takwimu zangu;

Majimbo ya Wabunge walioonesha Msimamo

 1. David Kafulila-Man of the Match
 2. Deo Filikunjombe
 3. Luhaga Mpina
 4. Serukamba
 5. Ole Sendeka
 6. Hamis Kigwangala
 7. Zitto Kabwe
 8. Freeman Mbowe
 9. Tundu Lissu
 10. John Mnyika
 11. Mwigulu Mchemba
 12. Lekule Laizer
 13. Kangi Lugola
 14. Halima Mdee
 15. John Momose (kwa Bunge zima ESCROW imekua kama tururfu pekee)
 16. ........................................
 17. ...........
 18. ................
 19. .................
Livingstone Lusinde
 
Viti Maalum/Uteuzi wa Rais-wapande hadhi ya jimboni 1. Magdalena Sakaya
 2. James Mbatia-Vunjo
 3. Esther Bulaya Bunda
 4. Lucy Owenya
 5. ...........................
 6. ...........................
 7. ..............................
 
Wabunge wa Kung'oka 2015 1. Mizengo Pinda (wacha tu nia yake ya urais hata ubunge ameshakosa sifa)
 2. Livingstone Lusinde
 3. Assumpta Mshama (tayari taa imewaka jimboni)
 4. Augustine Mrema-taa imewaka jimboni
 5. George Simbachawene
 6. Andrew Chenge
 7. Hawa Ghasia (nakumbuka aliingia mlango wa nyuma 2015)
 8. Anna Kajumulo
 9. John Ngeleja
 10. Shibuda John
 11. William Lukuvi
 12. Nkumba
 13. Yule Jamaa wa Kishapu....oooops selemani nchambi
 14. vilaza wote wa darasa la saba (waliwakilisha na kibajaji kutoa pumba na afadhali wa korogwe prof maji marefu hakutema pumba)
 15. viti maalum wengine wote
 16. ..........................................................
 17. ......................................................
 18. ....................................................
 
Huyo anafaa kuungana akina mashauzi.

kati ya wabunge mbumbu ni huyu jamaa!Wapiga kura wa mbozi mashariki mbona mnaongozwa na mtu mweupe kiasi hichi!Huyu jamaa amenifanya niichukie CCM sana!!Mpigeni chini huyu ni mchumia.tumbo anayekubali kuwasaliti wapiga kura wake ili kuganga njaa kwa wezi wa mali za umma!!
 
ni wa Mtera mkuu

Kati ya vitu nilizoshudia bunge hili ni kuwa tunaongozwa na mawaziri vilaza ambao hata hawajielewi wapowapo tu ili kupokea posho bungeni na kutumika km mipira!Mf. ni Hawa Ghasia, Saada Mkuya!!Hawajielewi ndo.maana hatuendelei ndugu zangu!!
 
Mkuu, Lusinde ni mbunge wa jimbo la Mtera, ndiye aliyembadili Mzee Malecela

Wana Mtera wamepata hasara kubwa kuwa na mtu anyejua kutoa mipasho mithili ya mwimba taarabu...

Wana Mtera tafakarini...
 
william lukuvi na hawa ghasia ndio bomu kubwa sana
 
Ameshachumia tumbo abaki tu kama hiza tamwe
Mkuu, Lusinde ni mbunge wa jimbo la Mtera, ndiye aliyembadili Mzee Malecela

Wana Mtera wamepata hasara kubwa kuwa na mtu anyejua kutoa mipasho mithili ya mwimba taarabu...

Wana Mtera tafakarini...
 
Ameshachumia tumbo abaki tu kama hiza tamwe

Teeh teeh teeh...hivi mkuu Amavubi huna mtandao na wana Mtera ili kuwajuza pumba za mbunge !?

Kimsingi, kiongozi ndiye alama ya jamii anayoiongoza...kwa hiyo akili ya lusinde ndo akiri za wana Mtera, kama wanabisha waje jamvini wajitete...
 
Wabunge wa Kung'oka 2015 1. Mizengo Pinda (wacha tu nia yake ya urais hata ubunge ameshakosa sifa)
 2. Livingstone Lusinde
 3. Assumpta Mshama (tayari taa imewaka jimboni)
 4. Augustine Mrema-taa imewaka jimboni
 5. George Simbachawene
 6. Andrew Chenge
 7. Hawa Ghasia (nakumbuka aliingia mlango wa nyuma 2015)
 8. Anna Kajumulo
 9. John Ngeleja
 10. Shibuda John
 11. William Lukuvi
 12. Nkumba
 13. Yule Jamaa wa Kishapu....oooops selemani nchambi
 14. vilaza wote wa darasa la saba (waliwakilisha na kibajaji kutoa pumba na afadhali wa korogwe prof maji marefu hakutema pumba)
 15. viti maalum wengine wote
 16. ..........................................................
 17. ......................................................
 18. ....................................................

Na hawa ni mizigo kwa Bunge letu... 2015 wasirudi

John Komba
Martha Mlata
Vicky Kamata
Koka (Kibaha)
Mgimwa (Jr.)
 
asante umenikumbusha orodha kali sana namuona hata Riz 1 naye ni bomu tu ameonekana dhahiri yuko kimaslahi

Back
Top Bottom