Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,805
11,964
Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo.

Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua.

Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets hapa.

Updates

1. Mkoa wa Morogoro

Mkoa wa Morogoro una Majimbo 11 hadi sasa CCM imesimamisha wagombea pekee katika Majimbo 6
- Jimbo la Kilosa
(Prof Kabudi)

- Jimbo la Gairo
Ahmed Shabiby

- Jimbo la Mvomero
Jonas Vanzland

- Jimbo la Morogoro kusini
Innocent Kalogeris

- Jimbo la Morogoro kusini mashariki
Hamis Taletale (Babu Tale)

- Jimbo Morogoro Mjini
AbdulAziz Abood

2. Mkoa wa Katavi
- Jimbo la Kavuu

Geophrei Mizengo Pinda

- Jimbo la Mlele
Aloyce Kamwelwe

3. Mkoa wa Mwanza
- Jimbo la Misungwi

Alexander Mnyeti

- Jimbo la Kwimba
Shanif Mansoor

4. Mkoa wa Lindi
- Jimbo la Ruangwa
Kassim Majaliwa

- Jimbo la Mtama
Nape Nnauye

5. Mkoa wa Shinyanga
- Jimbo la Ushetu

Elias Kwandikwa

6. Mkoa wa Dodoma
- Jimbo la Kongwa

Job Ndugai

- Jimbo la Chamwino
Deo Dejembi

- Jimbo la Kondoa mji
Ally Juma Makoa

- Jimbo la Kondoa Vijijini
Dkt. Ashatu Kijaji

- Jimbo la Dodoma Mjini
Anthony Mavunde

- Jimbo la Mpwapwa
George Malima

7. Mkoa wa Ruvuma
- Jimbo la Namtumbo

Vita Kawawa

8. Mkoa wa Mbeya
- Jimbo la Ludewa

Joseph Kamonga

9. MKoa wa Songwe
- Jimbo la Vwawa
Japhet Hasunga


10. Mkoa wa Tanga
- Jimbo la Bumbuli
January Makamba

= Orodha zaidi itakujia hivi punde=
 
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mvomero Mkoani Morogoro,Hassani Njama amethibitisha kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Jonas Van Zeland amepita bila kupingwa baada ya kile alichotaja ni kutokana na Wagombea wa Vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo
Najiuliza tu "HIVI KUNA SEHEMU WA UPINZANI ATAPITA BILA KUPINGWA?"
HIVI HAWA WA CCM WANA UWEZO WA KUJAZA FOMU KULIKO WENGINE!?
 
Wadau mpaka sasa nasikia| mpaka sasa CCM imeshachukua majimbo nane, namaanisha wamepita bila kupingwa. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua labda wagombea waage dunia.

1.Misungwi,
2.Ruangwa,
3.Ushetu,
4.Morogoro Mjini,
5.Mvomero,
6.Kilosa,
7.Mtama,
8. Gairo

Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets hapa.
Na ludewa pia
 
Back
Top Bottom