Ni uhuni tu wa tumeCCM.

1598373779309.jpeg
 
Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo nane, namaanisha wamepita bila kupingwa. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua labda wagombea waage dunia.

1. Misungwi,
2. Ruangwa,
3. Ushetu,
4. Morogoro Mjini,
5. Mvomero,
6. Kilosa,
7. Mtama,
8. Gairo

Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets hapa.
If A = B and B = C
Therefore A = C
In voice of former RPC
 
Back
Top Bottom