Majimbo ya Nyamagana na Geita yana nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majimbo ya Nyamagana na Geita yana nini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jjeremiah, Oct 12, 2010.

 1. j

  jjeremiah Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Nimepata tetesi kwamba kuna majimbo ya uchaguzi nchini ambayo kwa awamu mbali mbali toka uhuru hayana historia ya kupitisha wagombea kwa zaidi ya awamu moja, yeyote mwenye takwimu ama historia ya majimbo haya na mengine yenye kufanana na hayo aweke hapa jf
   
 2. m

  mosesk Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe unataka kumpandisha presha Masha nini? maana anadai mgombea wa chama fulani siyo raia.
   
 3. G

  GRILL Senior Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nia yako ni nini unaweza kuuwa bila kukusudia au ukasababisha kutafutiwa sababu ya kutoitwa raia
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Safi sana maana watanzania tuko zaidi ya 40 million, tukipokezana kila baada ya miaka mitano wengi watafaidi na kujijengea msingi wa kujiajiri
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  na tugawane keki ya taifa
   
 6. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wa nyamagana ni kama Tarime Mara, hawataki upuuzi kabisa, kuna wakurya kibao milimani ndo wapiga kura muulize Shomali alimwagiwa Tindikali naye aliwahi kuongoza kwa kipindi kimoja tu akatemwa. Masha afungashe vyake aende kukaa huko Carpri Point kwa vibosile ambako hawajui shida za watanzania wengi.

  Dialo ndo kawaweza kidogo naona wanamuona kama senator wa mwanza jamaa maana wanamkubali sana.
   
 7. g

  guta Senior Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hata Shinyanga mjini
   
 8. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Yale yale!!!!! Unaingia kwenye siasa kutafuta ajira? Tofauti ya wewe na mafisadi ni ipi?
   
Loading...