Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,441
- 25,582
huyu aliyeleta hii habari nafikiri hajielewi anawaza kwa kutumia masaburi.
Muondoe RUGE kazaliwa USA
Benno Malisa yupi?, Makamu M/Kiti UVCCM au Mwingine?! Yawezekama watu wanafanana majina ila vyama tofauti kama ile kesi ya ya W. Slaa wa CDM na ccm! Tafadhari weka maelezo sawa.
Je ni sahihi watu kujiandaa kugombea mwaka mmoja tu baada ya kutoka kwenye uchaguzi mkuu?Jimbo la Dar Es Salaam linaongoza kwa kuwa na orodha ndefu ya watu,vijana wanaotaka kuingia mjengoni.Je,mbio hizi zitatuvusha Salama?
1) Jimbo la ukonga linaongoza kwa kupaniwa na wengi akiwemo Julius mtatiro(CUF),Mbarouk Hemed(CUF),Rachel Mashishanga (chadema),John heche (Chadema), Machibya(Chadema),Mwita Magesa (Chadema), Michael P Aweda(Chadema),Eugene mwaiposa (CCM),Martin Shigela(CCM),kuna dada mmoja anafanya kazi Serengeti breweries pia yuko mbioni
2)Ubungo : John Mnyika(Chadema),Nape Nnauye(CCM), mhando wa Tanesco (CCM),Ruge wa Clauds(CCM),Esther bulaya(CCM)
3)Segerea: Fred mpendazoe(Chadema), Makongoro Mahanga (CCM), Ben Saanane(Chadema),Benno Malisa(Chadema),Nape nnauye(CCM),Mtatiro Julius (CUF)
4)Kigamboni: Mtatiro Julius Cuf (huyu anajiandaa huku zaidi tena kwa hali na mali), Mwantumu Maulid(CUF),Anna komu (chadema), na msaniii mmoja wa bongofleva
5)Temeke: Dickson Nghly wa chadema,Mtemvu wa CCM, Gaudensi owaya wa chadema,Didas Massaburi anajiandaa kupitia CCM
6)Kinondoni :Ben Saanane (chadema),Shy-Rose (CCM),Nape Nnauye (CCM),Idd Azan (CCM),Suzan Lymo(Chadema),Issa mlela(bongo movie),Mwita Magesa (CCM),Martine Shigela(CCM),Baraka kange(CCM)
Ilala kuna Jerry slaa(CCM),na wengine sijapata majina yao na kawe naendelea kutafuta .Tunageuka kuwa taifa la uchaguzi sasa.Nape na Shigela nawatakia kila la heri,naomba Muingie mjengoni mkadhibiti hali ya Mambo kama mlivyoweza kuwadhibiti huku nje.Chadema kazi kwenu,subirini chamoto mtakiona ilimradi msimwage damu tu kwa sababu kuna ambao hapo nawafahamu kwenye uchaguzi hapo huwa hawakubali kushindwa
Si ndiyo kazi ya magwanda?uchaguzi na maandamano.Chadema mnahitaji kujipanga sana tu
Hizi kweli za mtaani. Kwani kuna chama cha siasa kinaitwa bongo muvi? Haya mlela karibu na bongo muvi yako!
Wewe ndio haumfahamu baba yake College Prof and alikuwa Califonia kwa Masters na Ph.D Ruge na Mbaki walizaliwa huko Dada yao UKBukoba bana...tena inaweza kuwa Kashai au Amugembe
Je ni sahihi watu kujiandaa kugombea mwaka mmoja tu baada ya kutoka kwenye uchaguzi mkuu?Jimbo la Dar Es Salaam linaongoza kwa kuwa na orodha ndefu ya watu,vijana wanaotaka kuingia mjengoni.Je,mbio hizi zitatuvusha Salama?
1) Jimbo la ukonga linaongoza kwa kupaniwa na wengi akiwemo Julius mtatiro(CUF),Mbarouk Hemed(CUF),Rachel Mashishanga (chadema),John heche (Chadema), Machibya(Chadema),Mwita Magesa (Chadema), Michael P Aweda(Chadema),Eugene mwaiposa (CCM),Martin Shigela(CCM),kuna dada mmoja anafanya kazi Serengeti breweries pia yuko mbioni
2)Ubungo : John Mnyika(Chadema),Nape Nnauye(CCM), mhando wa Tanesco (CCM),Ruge wa Clauds(CCM),Esther bulaya(CCM)
3)Segerea: Fred mpendazoe(Chadema), Makongoro Mahanga (CCM), Ben Saanane(Chadema),Benno Malisa(Chadema),Nape nnauye(CCM),Mtatiro Julius (CUF)
4)Kigamboni: Mtatiro Julius Cuf (huyu anajiandaa huku zaidi tena kwa hali na mali), Mwantumu Maulid(CUF),Anna komu (chadema), na msaniii mmoja wa bongofleva
5)Temeke: Dickson Nghly wa chadema,Mtemvu wa CCM, Gaudensi owaya wa chadema,Didas Massaburi anajiandaa kupitia CCM
6)Kinondoni :Ben Saanane (chadema),Shy-Rose (CCM),Nape Nnauye (CCM),Idd Azan (CCM),Suzan Lymo(Chadema),Issa mlela(bongo movie),Mwita Magesa (CCM),Martine Shigela(CCM),Baraka kange(CCM)
Ilala kuna Jerry slaa(CCM),na wengine sijapata majina yao na kawe naendelea kutafuta .Tunageuka kuwa taifa la uchaguzi sasa.Nape na Shigela nawatakia kila la heri,naomba Muingie mjengoni mkadhibiti hali ya Mambo kama mlivyoweza kuwadhibiti huku nje.Chadema kazi kwenu,subirini chamoto mtakiona ilimradi msimwage damu tu kwa sababu kuna ambao hapo nawafahamu kwenye uchaguzi hapo huwa hawakubali kushindwa
Je ni sahihi watu kujiandaa kugombea mwaka mmoja tu baada ya kutoka kwenye uchaguzi mkuu?Jimbo la Dar Es Salaam linaongoza kwa kuwa na orodha ndefu ya watu,vijana wanaotaka kuingia mjengoni.Je,mbio hizi zitatuvusha Salama?
1) Jimbo la ukonga linaongoza kwa kupaniwa na wengi akiwemo Julius mtatiro(CUF),Mbarouk Hemed(CUF),Rachel Mashishanga (chadema),John heche (Chadema), Machibya(Chadema),Mwita Magesa (Chadema), Michael P Aweda(Chadema),Eugene mwaiposa (CCM),Martin Shigela(CCM),kuna dada mmoja anafanya kazi Serengeti breweries pia yuko mbioni
2)Ubungo : John Mnyika(Chadema),Nape Nnauye(CCM), mhando wa Tanesco (CCM),Ruge wa Clauds(CCM),Esther bulaya(CCM)
3)Segerea: Fred mpendazoe(Chadema), Makongoro Mahanga (CCM), Ben Saanane(Chadema),Benno Malisa(Chadema),Nape nnauye(CCM),Mtatiro Julius (CUF)
4)Kigamboni: Mtatiro Julius Cuf (huyu anajiandaa huku zaidi tena kwa hali na mali), Mwantumu Maulid(CUF),Anna komu (chadema), na msaniii mmoja wa bongofleva
5)Temeke: Dickson Ng'hly wa chadema,Mtemvu wa CCM, Gaudensi owaya wa chadema,Didas Massaburi anajiandaa kupitia CCM
6)Kinondoni :Ben Saanane (chadema),Shy-Rose (CCM),Nape Nnauye (CCM),Idd Azan (CCM),Suzan Lymo(Chadema),Issa mlela(bongo movie),Mwita Magesa (CCM),Martine Shigela(CCM),Baraka kange(CCM)
Ilala kuna Jerry slaa(CCM),na wengine sijapata majina yao na kawe naendelea kutafuta .Tunageuka kuwa taifa la uchaguzi sasa.Nape na Shigela nawatakia kila la heri,naomba Muingie mjengoni mkadhibiti hali ya Mambo kama mlivyoweza kuwadhibiti huku nje.Chadema kazi kwenu,subirini chamoto mtakiona ilimradi msimwage damu tu kwa sababu kuna ambao hapo nawafahamu kwenye uchaguzi hapo huwa hawakubali kushindwa
Nuclear1,
Sijui haya umeyapata wapi.................! Kumbe inaruhusiwa kugombea majimbo mawili?Thanks for your interest.
NB: Waombe Radhi watu wa Dar Es Salaam kwamba hawataki hoja? Umeshau Mlipoteza jimbo la Ubungo kutokana na hoja nzito za john mnyika,Kawe kwa Halima Mdee na bado historia inaonyesha Watu wa Dar walichagua hoja za akina mabere Marando na Lamwai mwaka 1998 kule Temeke dhidi ya Ghiliba za akina Mkapa na serikali yake.
The subject at stake is not healthy anyways!