Tuwe fair kwa vyama vyote, hapa cheni wekeni majimbo ambayo CCM wameshinda kama unayajua.
Wewe Subiri hadi mwisho...ukichukua ya upinzani waliyoshinda basi yatakayobaki yatakua ya CCM!
Tuwe fair kwa vyama vyote, hapa cheni wekeni majimbo ambayo CCM wameshinda kama unayajua.
Yeyote mwenye data atuletee, lakini siyo issue maana yanayoleta msisimko ni mabadiliko. Baada ya upinzani kuchukua chao yanayobaki ni ya ccm.Tuwe fair kwa vyama vyote, hapa cheni wekeni majimbo ambayo CCM wameshinda kama unayajua.
Kinondoni CCM
Duhpia bukoba mjini ccm amechukua