Elections 2010 Majimbo waliyoshinda CCM

Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
1,033
1,020
Tuwe fair kwa vyama vyote, hapa cheni wekeni majimbo ambayo CCM wameshinda kama unayajua.
 
Unataka tuwe."fair" lakini huna takwimu zako za ki-uCCM sasa tukueleweje hapo?

Onyesha njia na wengine wakiona inafaa watakufuata........................
 
Tuwe fair kwa vyama vyote, hapa cheni wekeni majimbo ambayo CCM wameshinda kama unayajua.
Yeyote mwenye data atuletee, lakini siyo issue maana yanayoleta msisimko ni mabadiliko. Baada ya upinzani kuchukua chao yanayobaki ni ya ccm.
CCm hiyo si ndo "control" ya experiment hii! hakuna haja ya kuipima
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom