Majimbo Kibamba na Ubungo rasmi CCM. Yamesalitiwa sana

Kwa hiyo yakienda CCM ,yatageuka kuwa ulaya?Mbona Zanzibar CCM wanaongoza peke yao,je matatizo ya Wazanzibar yameisha? je Zanzibar imekuwa kama ulaya? Natamani baada ya uchaguzi mwaka huu asiwepo hata mbunge mmoja wa upinzani,ili watanzania wajionee wenyewe kwa vitendo na macho yao,ili asiwepo hata mmoja wapo wa kumsingizia mwenzie ,ina hatimae Tz iwe kama ulaya.

Ghafla vitaongezeka viwanda 20,000 kila kata mkuu.
 
Huna la kujibu hapa
Kule sumbawanga kuna mama alijitokeza kuomba kwa rais wapate maji lkn kwa kuwa mbunge alikuwa upinzani rais akamwambia siku nyingine mtumie akili.

Ili msipate tabu kama hizi ondoeni vyama vingi sio kuleta kelele zisizo na tija.
 
Tunataka tume huru tuwapige superglue midomo pale Lumumba, tofauti na hapo hii ni mipasho tuu hamuwezi kitu. PoliCCM+NEC watawapiga mbeleko milele.
 
Ukweli ni kuwa rudi hapa 2026 (baada ya jimbo kwenda CCM) na utalalamikia mambo haya haya. Niko kwenye jimbo ambalo halikuwahi kwenda upinzani, na sijaona hali ikibadilika.

Ni wazi hujui majukumu ya mbunge vs serikali! Ukishayajua utaona Serikali ndio ina majukumu na mambo unayolalamikia. Wewe unailipa kodi serikali!!!
 
Ila ww Jamaa inaonekana humu Jf hukubaliki hadi unetumiwa kua mfano kwenye ule mfano Waku ignore/block watu humu Jf , ngoja na mm nikakufanye mfano
Uwe unatumia kichwa Chako kufikili hivi ulijua kuwa mimi ndio niliuliza .nachukiwa na mkeo nini ?

Elimu inakupa shida kuitafuta
 
Ukweli ni kuwa rudi hapa 2026 (baada ya jimbo kwenda CCM) na utalalamikia mambo haya haya. Niko kwenye jimbo ambalo halikuwahi kwenda upinzani, na sijaona hali ikibadilika.

Ni wazi hujui majukumu ya mbunge vs serikali! Ukishayajua utaona Serikali ndio ina majukumu na mambo unayolalamikia. Wewe unailipa kodi serikali!!!
Leo mnaleta ishu ya majukumu ya mbunge. Zamani mlikuja mkiwa na moto kumbe hamnahamna.
 
Uwe unatumia kichwa Chako kufikili hivi ulijua kuwa mimi ndio niliuliza .nachukiwa na mkeo nini ?

Elimu inakupa shida kuitafuta
Pole mkuu maana raia wengi walikua wanashadadia ule mfano ubadilike kutoka kwenye mfano hadi kua halisi pamoja na mwenzako Bia yetu sasa unadhani kwa picha hiyo kuna nn tena.
 
pole mkuu maana raia wengi walikua wanashadadia ule mfano ubadilike kutoka kwenye mfano hadi kua halisi pamoja na mwenzako Bia yetu sasa unadhani kwa picha hiyo kuna nn tena
Najua bavicha wengi wanamatope vichwani kama wewe hata mfano wanaona ishu, mimi ndie nilimuuliza max ishu ya ignore maana kunawapuuzi kama wewe nikupiga ignore tu
 
Najua bavicha wengi wanamatope vichwani kama wewe hata mfano wanaona ishu, mimi ndie nilimuuliza max ishu ya ignore maana kunawapuuzi kama wewe nikupiga ignore tu
Me nimeshakuwahi kitambo
 
Ubongo kuna changamoto, mbunge wa upinzani hata awe na upeo,juhudi vipi,watamhujumu tu kwa kuwa hatoki chama tawala.Lakini akitokea CCM mara nyingi wagombeaji si wazawa/wakazi ni wakuja
hawana uchungu.Ni kama marriage for convenience.
 
Back
Top Bottom