Elections 2010 Majimbo haya yanafanana

Kwa haraka haraka naona majimbo haya ya mijini yanafanana katika uchaguzi huu. Ongeza na ya kwako
1. Ubungo
2. Mbeya Mjini
3. Iringa Mjini
4. Arusha mjini
5. Moshi Mjini
6. Musoma Mjini
7. Bukoba Mjini
8. Nyamagana
9. Shinyanga Mjini
10. Songea Mjini

8. Nyamagana na Ilemela (ni Mwanza Mjini) majimbo mengini mjini hayajagawanyika kabisa
kwa hiyo Nyamagana na Ilemela sio majimbo yanayo fanana labda utupe lengo lako ni nini?
 
Back
Top Bottom