Elections 2010 Majimbo haya yanafanana

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Kwa haraka haraka naona majimbo haya ya mijini yanafanana katika uchaguzi huu. Ongeza na ya kwako
1. Ubungo
2. Mbeya Mjini
3. Iringa Mjini
4. Arusha mjini
5. Moshi Mjini
6. Musoma Mjini
7. Bukoba Mjini
8. Nyamagana
9. Shinyanga Mjini
10. Songea Mjini
 
Kwa haraka haraka naona majimbo haya ya mijini yanafanana katika uchaguzi huu. Ongeza na ya kwako
1. Ubungo
2. Mbeya Mjini
3. Iringa Mjini
4. Arusha mjini
5. Moshi Mjini
6. Musoma Mjini
7. Bukoba Mjini
8. Nyamagana
9. Shinyanga Mjini
10. Songea Mjini
11. Sumbawanga Mjini
12. Moshi Mjini
 
big no. Kura yangu niliwawekea chadema nimeihamisha huko baada ya yule mgombea kuporomosha matusi, urais ok, lakini ubunge no.. Hata mwenyewe alikuwa amekata tamaa ndo maana aliongea vile

hayo ni mawazo na mtazamo wako tu.. Watu watampa kura bila wasiwasi!!!
 
Jamani nasikia yule mgombea wa ubunge kule temeke ni mwanafunzi wa chuo kikuu. kama ndivyo, sishangai kwa kauli zake za kumtukana Rais kwani alidhani yuko kwenye mdahalo wa wanafunzi.
 
Chadema itashinda sana,ubunge Urais na udiwani kwa mbaaaali sana kabisa
 
Back
Top Bottom