majimbo yafuatayo 1.kinondoni 2.segerea, 3. ukonga, 4. temeke, 5. kigamboni haya majimbo 2015 yanatarajia kuwa himaya ya upinzani kutoka na wabunge wake wamelala usingizi mzito na hawana hata muda wa kutatua kero za wananchi na kutimiza ahadi zao.
mfano kwa Idd Azan kwanza hata ofisini kwake hajawahi kukanya tangu achaguliwe yeye yupo bize na biashara zake za magari na nyumbani kwake maeneo ya gereji kwa makanya amebomoa na sasa anajenga ghorofa, anaona bora ajilimbikizie mali mapema kabla 2015.
ukonga matatizo ya maji ni makubwa barabara (moshi bar) hazipitiki na hana jitihada zozote za kushinikiza serikali kama wanavyofanya wabunge wengine. hivyo hivyo kwa wabunge wa kigamboni na temeke. makamanda mliyoweka nia jipangane ngoma inogile hiyo.