Majimbo haya lazima tushinde kesi

gomezirichard

Member
Nov 2, 2010
71
1
Ndugu wana JF, Hakuna kipingamizi cha kutufanya wana CHADEMA tushindwe kuyatwaa majimbo haya , moja ya mikakati ambayo CHADEMA wana jadili hivi karibuni watatoa ripoti yao ni juu ya majimbo ya shinyanga mjini, kigoma mjini, kilombero, kibaha mjini na segerea, pia mbozi magharibi ninaamini pindi tutakapo enda mahakamani bila shaka lazima mtu mzima aibike otherwise CCM Watumie nguvu na si utashi wa kisiasa .

Mzee Gomezi
 
Mbozi Magharibi ni David Sillinde wa CHADEMA, Labda unazungumzia Mbozi Mashariki alikoshinda Geofrey Zambi. Kuna Majimbo ambayo CHADEMA wanaweza kushinda na ina nakala za matokeo na Karagwe, Tarime, Segerea, Kilombero, Arumeru Magharibi na Jimbo la Hanang ambalo inasemekana CHADEMA walishinda lakini kura zikachakachuliwa kumpendelea Dr. Mary Nagu. Hata Hivyo katika jimbo hilo CHADEMA wanajivunia kuongoza Halmashauri ya Hanang.
 
Nakubaliana nawe mkuu lakini hivi wewe ni msemaji wa Chadema? Nitaamini vipi kuwa sasa hivi Chadema wanajadili na watatoa ripoti hivi karibuni..... weka data please!!!
Ndugu wana JF, Hakuna kipingamizi cha kutufanya wana CHADEMA tushindwe kuyatwaa majimbo haya , moja ya mikakati ambayo CHADEMA wana jadili hivi karibuni watatoa ripoti yao ni juu ya majimbo ya shinyanga mjini, kigoma mjini, kilombero, kibaha mjini na segerea, pia mbozi magharibi ninaamini pindi tutakapo enda mahakamani bila shaka lazima mtu mzima aibike otherwise CCM Watumie nguvu na si utashi wa kisiasa .

Mzee Gomezi
 
Mahakamani siku hizi nami nimeshang'amua kwamba haki ni bidhaa ya kibiashara inayolipa sana. Tena wanasheria wasomi wanaoonekana nadhifu kwelikweli wanajitutumua kushindana kuchakachua haki hizo kuwanufaisha. Mfano mdogo tu nimeukuta jana mahakama mojawapo ya Wilaya hapa DSM. madreva wamekwaruzana magari yao barabarani na polisi wakampeleka mmojawapo mahakama ya wilaya (sio ya mwanzo tena). Anayeonekana kuwa mkosaji kwa kuwa anazo mfukoni akahakikisha kijana mdogo dereva makini sana awekwe chini ya ulinzi (Kazi ya polisi). Ili kumpa dhamana kijana yule ndugu zake wametobolewa laki moja + bila risiti. Kitu wanaita waiting charges kwa hakimu kusubiri paper works ikamilike. Hachukui yeye, karani wake anakusanya na kupeleka akiwa kaweka mzigo ndani ya documents. Kumkosa SLaa kwa urais maana yake nyepesi ni miaka mingine mitano isiyo na matumaini na yenye maumivu kama kawa kwenye sector zote. Wengine tulitegemea elimu nafuu na bora + tiba bora na nafuu, sasa kumbe tumeoteshwa tu!!!! come next 5 years, kama kizazi kipya kitaamua kutodanganyika.
 
daima naunga haki matumizi ya sheria , kwa hapo nawaunga mkono kwa hatua mnazotumia, ila ingekuwa matumizi ya nguvu nisingeweza kuunga mkono kwa namna moja au nyingine
 
Ndugu wana JF, Hakuna kipingamizi cha kutufanya wana CHADEMA tushindwe kuyatwaa majimbo haya , moja ya mikakati ambayo CHADEMA wana jadili hivi karibuni watatoa ripoti yao ni juu ya majimbo ya shinyanga mjini, kigoma mjini, kilombero, kibaha mjini na segerea, pia mbozi magharibi ninaamini pindi tutakapo enda mahakamani bila shaka lazima mtu mzima aibike otherwise CCM Watumie nguvu na si utashi wa kisiasa .

Mzee Gomezi

Pia Jimbo la Mvomero kwa Makala ambapo walikuwa wanafuta karatasi za majumuisho kwa correction fluid.
 
Cha muhimu ni kuwa CHADEMA isitumie nguvu zote kukomboa majimbo mahakamani, ijiandae kuanzia sasa kutwaa majimbo mapya uchaguzi ujao...
 
kelele za majeruhi (walioshindwa) mara hii umeshakuwa hakimu !!!!!!!!!! au we nae mtabiri
hivi hujui kwamba sheria kuchukua mkondo wake ni mchakato mrefu?????????????
 
Back
Top Bottom