Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Sasa kuna tofauti gani na Katiba iliyokuwepo kama Serikali Kuu ndiyo inapeleka fedha kwenye Majimbo? Si ni kama TanZania tu Serikali inakusanya fedha nchi nzima na kuweka kwenye kapu moja na kugawa kwa kila Mkoa na Wilaya tena kwa gharama nafuu zaidi klk Kenya kwa maana Kenya Jimbo lina Gavana, Seneta, Diwani na watumishi wao na hao wote wanalipwa na Serikali Kuu!
Mimi nilifikiri walivyokuwa wanashabikia Katiba mpya na Majimbo ni kwamba yalikuwa yanajiendesha yenyewe kumbe Majimbo yanapokea fedha ktkt Serikali Kuu sasa yana kazi gani kama hayawezi kujiendesha yenyewe zaidi ya kuongeza gharama tu?