Majimbo ambayo yana uhakika 85% na zaidi yatarudi CCM 2020

daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
359
357
  1. Jimbo la Mlimba. - Hili jimbo hakuna jipya zaidi ya malalamiko na kusema Mwk. taifa akija kila kitu kitaeleweka.
  2. Arumeru Magharibi. - Hili jimbo watu walikuwa nataka maendeleo, na walikuwa na hasira sana lakini kwa sasa wamepata wanachokitaka, matatizo yao kama ya ardhi hawaamini kama yameisha, hawajawai kuwa wapinzani kiasili uko nyuma ila kero ndiyo wakaamua kuweka mtoto mdogo.
  3. Hai - Tatizo la watu wa Hai wanaakili sana, wanaoji mambo na walichoshwa na awamu zilizo pita kuwaacha, awapendi kuachwa. Sasa wanaiona serikali ya awamu ya tano ikiwajali sana. Na mbunge wao amewaacha vipindi vyote kwani yupo bize na nchi nzima na kusahau nyumbani, Maendeleo yanatokea bila yeye kuwepo, mnaweza msiamini ila kama ilivyotokea katika kata ambapo wamekosa kata zote.
  4. Mbeya Mjini - Hawa vijana wameelewa maana ya hapa kazi tu, hipop na fujo wakati hawana ela na maendeleo hawayaoni, wanaona kunaitajika mabadiliko. Na tayari kuna mtu analijenga jimbo na anauwezo mkubwa na yupo kimaendeleo na siyo mbabaishaji. Yaani ushikaji umefeli.
  5. Moshi vijijini - Huyo mbunge anaishi Dar na familia yake na alipata ubunge wa upepo. Pale jimboni pana shida nyingi na tayari kuna mwana mzalendo atawekwa pale na jimbo litarudi Ccm. Tayari kero zinatatuliwa huku mbunge akiwa katuri tuli.
  6. Bukoba Mjini - Huyu alikuwa mtu wa uasalama wa chama na alimudu sana mambo ya interenjisia ya Chadema, hajafanya maendeleo yoyote kama wanajimbo walivyo tegemea, anatumia muda mwigi kulalamika yaani kakata tamaa kabisa.
  7. Ukonga - Kero za Dar zina zinapungua kwa kasi ya ajabu sana, na watu wa Dar walikuwa na asira sana, na hii ni kwa majimbo yote. Na Mh. hajafanya lolote . Foreni zinadhibitiwa maji yanapatikana wakati yeye kakaa pembeni akimwachia Mh. Makonda na wenzake.
  8. Kawe - Hili jimbo kwa sasa linaitaji mtu makini kutokana na mabadiliko makubwa ya awamu ya 5, fujo na matusi kwa sasa havina tija yanatakiwa maendeleo ya kuleta mabadiliko. Makonda anakuwa kama kiongozi wa mfano, Na tayari kuna mtu makini yupo kikazi zaidi atawekwa kwa ajiri ya wana kawe 2020.
  9. Kilombelo - Jimbo lilichukuliwa kwa mbwembwe za mabadiliko ya kuzungusha mikono, hari imekuwa tofauti mbunge hawamwoni, mara kafungwa mara kesi, nafikiri kutokuoa na umri pia. Ajafanya chochote analalamika kanyimwa jukwaa la kutukana watu.
  10. Arusha Mjini - Watu wamechoka na kugundua fujo na maandamano ni adui wa maendeleo. Ndugu Gambo ameonyesha mfano wa uongozi wa hapa kazi tu ulio tukuka. Arusha inapata mabadiliko makubwa bila mbunge sasa wana Arusha wanafunguka macho na ndiyo maana wamekataa kurudisha madiwani wote na kuipa CCM. Pia Awamu ya 5 inaendana na awamu ya kwanza hivyo arusha nieneo muhimu.
  11. Kibamba - hili siitaji kijadili
  12. Bunda mjini - Wanajimbo wanashangaa kazi waliyomtuma mbunge wao kwenda mjengoni haipo kwani mbunge wao haruhusiwi kuingia tena bungeni. Na sababu za azabu hiyo haziusiani na sababu ya kumpeleka mjengoni, siasa imebadilika na watu wanabadilika. Fujo imekuwa ndiyo kazi ya mbunge kitu amabcho kwa sasa viroba hakuna vijana wanafikiria kwa makini maisha yao na si fujo hivyo jimbo litaondoka.
  13. Ubungo - Aonekani kabisa na alikuja kwa kasi kubwa kwa matarajio aliyoyafikiri hivyo amekata tamaa kabiasa na kuhudumia wananchi na Dar imebadirika sana katika awamu ya tano na kuna mtu wa kimaendeleo ameandaliwa hana fujo wala mitusi ila kazi tu.
  14. Iringa Mjini - Hawa wananchi wamekata tamaa kabisa hawana hamu tena na upinzani wamekatishwa tamaa na wengine ni watumishi wa mungu, wanaona kinyume cha saa, hawaoni maendeleo ila wanaona malalamiko kilakukicha. Ndiyo maana uchaguzi mdogo wamewanyima kura wapinzani.
Watanzania wamegundua siasa yenye maendeleo ni bora kuliko siasa za matukio yanayorudisha maendeleo nyuma, siasa za kupinga kilakitu hata jambo zuri linapingwa kawa masilai ya wachache.

Kubadirika badirika kama sera ya kupambana na ufisadi hadi kukumbatia na kutetea ufisadi waziwazi. Haya yote hayata waacha wapinzani salama hata kidogo.

Kosa lingine ni kuto kuchanganua maslai ya wengi na ya wachache. Utakuta jambo la mtu mmoja wanalifaya la kitaifa na jambo la kitaifa wanalifanya kama la mtu mmoja bila kujua madhara yake baadaye, kwa maana nyingine hawaangalii mbali.

Nawasilisha.
0714733111
 
  1. Jimbo la Mlimba. - Hili jimbo hakuna jipya zaidi ya malalamiko na kusema Mwk. taifa akija kila kitu kitaeleweka.
  2. Arumeru Magharibi. - Hili jimbo watu walikuwa nataka maendeleo, na walikuwa na hasira sana lakini kwa sasa wamepata wanachokitaka, matatizo yao kama ya ardhi hawaamini kama yameisha, hawajawai kuwa wapinzani kiasili uko nyuma ila kero ndiyo wakaamua kuweka mtoto mdogo.
  3. Hai - Tatizo la watu wa Hai wanaakili sana, wanaoji mambo na walichoshwa na awamu zilizo pita kuwaacha, awapendi kuachwa. Sasa wanaiona serikali ya awamu ya tano ikiwajali sana. Na mbunge wao amewaacha vipindi vyote kwani yupo bize na nchi nzima na kusahau nyumbani, Maendeleo yanatokea bila yeye kuwepo, mnaweza msiamini ila kama ilivyotokea katika kata ambapo wamekosa kata zote.
  4. Mbeya Mjini - Hawa vijana wameelewa maana ya hapa kazi tu, hipop na fujo wakati hawana ela na maendeleo hawayaoni, wanaona kunaitajika mabadiliko. Na tayari kuna mtu analijenga jimbo na anauwezo mkubwa na yupo kimaendeleo na siyo mbabaishaji. Yaani ushikaji umefeli.
  5. Moshi vijijini - Huyo mbunge anaishi Dar na familia yake na alipata ubunge wa upepo. Pale jimboni pana shida nyingi na tayari kuna mwana mzalendo atawekwa pale na jimbo litarudi Ccm. Tayari kero zinatatuliwa huku mbunge akiwa katuri tuli.
  6. Bukoba Mjini - Huyu alikuwa mtu wa uasalama wa chama na alimudu sana mambo ya interenjisia ya Chadema, hajafanya maendeleo yoyote kama wanajimbo walivyo tegemea, anatumia muda mwigi kulalamika yaani kakata tamaa kabisa.
  7. Ukonga - Kero za Dar zina zinapungua kwa kasi ya ajabu sana, na watu wa Dar walikuwa na asira sana, na hii ni kwa majimbo yote. Na Mh. hajafanya lolote . Foreni zinadhibitiwa maji yanapatikana wakati yeye kakaa pembeni akimwachia Mh. Makonda na wenzake.
  8. Kawe - Hili jimbo kwa sasa linaitaji mtu makini kutokana na mabadiliko makubwa ya awamu ya 5, fujo na matusi kwa sasa havina tija yanatakiwa maendeleo ya kuleta mabadiliko. Makonda anakuwa kama kiongozi wa mfano, Na tayari kuna mtu makini yupo kikazi zaidi atawekwa kwa ajiri ya wana kawe 2020.
  9. Kirombelo - Jimbo lilichukuliwa kwa mbwembwe za mabadiliko ya kuzungusha mikono, hari imekuwa tofauti mbunge hawamwoni, mara kafungwa mara kesi, nafikiri kutokuoa na umri pia. Ajafanya chochote analalamika kanyimwa jukwaa la kutukana watu.
  10. Arusha Mjini - Watu wamechoka na kugundua fujo na maandamano ni adui wa maendeleo. Ndugu Gambo ameonyesha mfano wa uongozi wa hapa kazi tu ulio tukuka. Arusha inapata mabadiliko makubwa bila mbunge sasa wana arusha wanafunguka macho na ndiyo maana wamekataa kurudisha madiwani wote na kuipa CCM. Pia Awamu ya 5 inaendana na awamu ya kwanza hivyo arusha nieneo muhimu.
  11. Kibamba - hili siitaji kijadili
  12. Bunda mjini - Wanajimbo wanashangaa kazi waliyomtuma mbunge wao kwenda mjengoni haipo kwani mbunge wao haruhusiwi kuingia tena bungeni. Na sababu za azabu hiyo haziusiani na sababu ya kumpeleka mjengoni, siasa imebadilika na watu wanabadilika. Fujo imekuwa ndiyo kazi ya mbunge kitu amabcho kwa sasa viroba hakuna vijana wanafikiria kwa makini maisha yao na si fujo hivyo jimbo litaondoka.
  13. Ubungo - Aonekani kabisa na alikuja kwa kasi kubwa kwa matarajio aliyoyafikiri hivyo amekata tamaa kabiasa na kuhudumia wananchi na Dar imebadirika sana katika awamu ya tano na kuna mtu wa kimaendeleo ameandaliwa hana fujo wala mitusi ila kazi tu.
  14. Iringa Mjini - Hawa wananchi wamekata tamaa kabisa hawana hamu tena na upinzani wamekatishwa tamaa na wengine ni watumishi wa mungu, wanaona kinyume cha saa, hawaoni maendeleo ila wanaona malalamiko kilakukicha. Ndiyo maana uchaguzi mdogo wamewanyima kura wapinzani.
Watanzania wamegundua siasa yenye maendeleo ni bora kuliko siasa za matukio yanayorudisha maendeleo nyuma, siasa za kupinga kilakitu hata jambo zuri linapingwa kawa masilai ya wachache.

Kubadirika badirika kama sera ya kupambana na ufisadi hadi kukumbatia na kutetea ufisadi waziwazi. Haya yote hayata waacha wapinzani salama hata kidogo.

Kosa lingine ni kuto kuchanganua maslai ya wengi na ya wachache. Utakuta jambo la mtu mmoja wanalifaya la kitaifa na jambo la kitaifa wanalifanya kama la mtu mmoja bila kujua madhara yake baadaye, kwa maana nyingine hawaangalii mbali.

Nawasilisha.
0714733111
kubomoa majumba ya watu mbona hulisemei
 
Niliwahi kuandika na nazidi kuandika,hakuna shida ikiwa majimbo yote yatarudi kwa ridhaa halali ya wananchi.
Tatizo ni pale majimbo yatakaporudi kwa mitutu,mapanga,Polisi na idara yetu pendwa.
Ikiwa majimbo yote kurudi CCM kutasaidia amani na maendeleo,NAUNGA mkono.
 
Arusha kutakuwa na kazi,kwanza mwenyekiti mpya wa wilaya ni mchaga wa kibosho,hivyo kura zita gawanyika,na ukiangalia tumeanza tabia ya kurudisha viti vya CCM kwa nguvu,sioni Lema akirudi,wale waliokuwa wakipewa viroba kuleta fujo,tumepiga marufuku,hivyo tuki waambia wapige kura halafu waende nyumba wanatuelewa sasa hivi kwa sababu tumeshaonyesha mfano kwenye udiwani,kama kulinda kura Lema alinde peke yake na tuna mpa escort ya Nissan patrol 2.
 
Ingekuwa wanatumia nguvu hiyo hiyo kuwatumikia wananchi sidhani Kama tungekuwa na hali mbaya.Mimi watu wananikera wanahela nyingi za kuiba kura I'll hawana hell y kuleta maendeleo
 
Back
Top Bottom