Mbeya hakuna jimbo lililotangaza matokeo, lakini matokeo yasiyyo rasmi Mbeya Mjini inaongoza CHADEMA, Vijijini bado mambo magumu kwa Sambwee na baadhi ya wanachama wanamlaumu kwa kuifanya kampeni ya Mbeya Vijijini kuwa yake binafsi, alijiamini kupita kiasi, Lupa wilayani Chunya CCM ndiyo ilikuwa ikiongoza.
Kunahitajika umakini katika kufuatilia haya matokeo. Majimbo mengi wameahidi kutangaza kuanzia saa 11 jioni leo
Kunahitajika umakini katika kufuatilia haya matokeo. Majimbo mengi wameahidi kutangaza kuanzia saa 11 jioni leo