Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

kwa hiyo bungeni itakuwa! kiranja mkuu, sasa tupate mapumziko kidogo kwa burudani SUGU, ndani humo kuna ujumbe mzito wa harakati, zamani nilisema kila kitu kitakwisha lakini rushwa haitakwisha, nimekuja bungeni kupambana na rushwa, then chorus anaimba Mnyika nchi ina kila kitu tulichokosa umakini wa viongozi tupo hapa kwa ajili hiyo CCM wao wanakata mauno
 
Ninashaka na Taarifa za Jimbo la Singida Kaskazini. Nadhani ni Singida Mashariki la Ntudu Lissu. Takwimu ni za Muhimu kwa Ushaihidi isiwe Ushabiki. Ukweli ubaki Ukweli
 
Nimeletewa taarifa kwamba upinzani wamekamata majimbo 4 ya mkoa wa Mbeya.

Majimbo hayo ni:

Mbeya Mjini - CHADEMA
Mbeya Vijijini - CHADEMA
Mbozi Magharibi - CHADEMA
Chunya-Lupa - TLP
 
Kabla hongera hazijatolewa, kama hautajali kutaja wameshinda kwa kiasi gani na ni kina nani kwa majina-hao walioshinda.
 
Nimeletewa taarifa kwamba upinzani wamekamata majimbo 4 ya mkoa wa Mbeya.

Majimbo hayo ni:

Mbeya Mjini - CHADEMA
Mbeya Vijijini - CHADEMA
Mbozi Magharibi - CHADEMA
Chunya-Lupa - TLP
Peoples Power!
Kama hata Mbeya (V) NI YA cHADEMA, anyone shouldf be sure that in just two years to come the whole country will be on fire!
 
Nimeletewa taarifa kwamba upinzani wamekamata majimbo 4 ya mkoa wa Mbeya.

Majimbo hayo ni:

Mbeya Mjini - CHADEMA
Mbeya Vijijini - CHADEMA
Mbozi Magharibi - CHADEMA
Chunya-Lupa - TLP
 
Nasikia Mbozi mashariki Mwambapa wa CHADEMA kapeta
Mbeya vijijini ni Sambwee Shitambala, ni yuleyule ambaye aligombea kwenye uchaguzi mdogo baada ya kufariki kwa Mbunge Nyagawa, then akawa disqualified dakika za mwisho baada ya kuambiwa alijiapisha mwenyewe!
 
Mbeya Vijijini CCM c walikoswaswa tangu wakati wa uchaguzi mdogo wakatanya fitna mgombea wa CHADEMA akaenguliwa, naona safari hii wamejikuta wanae ulingoni na amewapa za uso vibaya vibaya. Yaani pa1 na kumchakachua yule jamaa alikuwaga kiongozi wa CHADEMA, bado nyundo&jembe CHALI!
 
huko Mbeya hakuna ubishi na ccm ikitaka Vita ichakachue huko!
 
WASHKAJI NILIKUWA NASKILIZA NEC LIVE KTK ITV,Dah HALI SI SHWALI KWA WANAMABADILIKO, NA NAZANI YALE MAJIMBO CCM WALIOCHAKACHUA MATOKEO YAKE YAMEFIKA NEC MAPEMA,ILA MAJIMBO YALIYOKO MAJIMBO KAMA MWNZA KILIMANJ SHINYANGA MBEYA MUSOMA NAONA BADO MCHAKATO WA KUCHAKACHUA BADO UNAENDELEA:nono:. pamoja
 
Back
Top Bottom