Elections 2010 Majimbo ambayo upinzani umezulumiwa waziwazi

Naomba turudi kwenye mada.

1.Je ni kweli hayo majimbo yaliyotajwa yana dalili ya kuchakachuliwa?

2.Je kuna majimbo mengine ambayo yana dalili hizo lakini sijayataja? Ongezeni.

3.Je katika majimbo hayo niliyotajwa lipo ambalo CCM imeshinda kwa haki?

4.Nini kifanyike kukomboa majimbo ambayo yamechukuliwa na CCM kwa njia za wizi/udanganyifu?

Nawasilisha.
 
TANDAHIMBA IMENIUMA,
Katani Ahamadi katani mgombea wa CUF amepigwa na kuvunjwa mguu na mkono pamoja na mbavu....
Alishinda kwa kishindo, CCM wakabadilishwa!!!!!
 
Tuwe makini. Haina maana huyo jamaa anyejiita Mzitokabwela ni zito kabwe. Anaweza kutumia hilo jina makusudi kisha kuongea maneno mabaya hapa ionekane hayo ni maneno ya Zito. We need 2 b careful kung'amua ujanja huo kama umekusudiwa.
 
No comment nahisi ntajishushia credibility manake muendako siko jamani

Nani kakuambia tunakwenda njia moja na wewe? Chadema rudisheni hayo majimbo kabla ya July 2011 kuongeza nguvu ya kujadili bajeti.
 
Yafuatayo ni majimbo ambayo dalili zinaonyesha kuwa matokeo yamechakachuliwa ili kuipa CCM ushindi ingawa wapinzani walishinda;

1. Shinyanga mjini
2. Sumbawanga mjini
3. Mbozi Magharibi
4. Bukoba mjini

Kiukweli suala hili ni muhimu kufanyiwa kazi ili next time mambo yasiwe ivi..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom