Majimaji yenye harufu baada ya tendo la ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majimaji yenye harufu baada ya tendo la ndoa

Discussion in 'JF Doctor' started by Caritha, Oct 11, 2012.

 1. C

  Caritha Senior Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kujuzwa sababu ya kutokwa na majimaji yenye harufu ukeni kwa siku kadhaa baada ya tendo la ndoa na nini kifanyike ili kuondoa hali hiyo.
   
 2. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Nenda hospitali, ni infection tu, inatibika.
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kabla ya tendo condom huwa inatumika?
   
 4. C

  Caritha Senior Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo huwa inatumika
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tulizana!!!
   
 6. C

  Caritha Senior Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeambiwa kuwa cjatulizana?
   
 7. S

  Solarpanel JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ni harufu mbaya sn nenda hospital,ila saa nyingn condom nazo zina maharufu tofaut ila hazikai sn
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hyo mara nyingi inasababishwa na watu wengi wanatumbikiza deep stick wanapima oil sana!
   
 9. majany

  majany JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Siyo mzima ww!!
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Haya wewe ndio mzima!! Kwnin hayo maji yatoke baada ya kugongwa? Jiulize acha majani!
   
 11. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Mwagombana wazima mgojwa anaeomba ushauri mnamwacha. Nenda hosp dada kwa vipimo zaidi hujachelewa!
   
 12. majany

  majany JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Are you a Medical Doctor by profession au unaleta bangi kwenye ugonjwa wa mwenzio??


  Types of Abnormal Discharge and Their Possible Causes

  [TABLE]
  [TR]
  [TD] Type of Discharge[/TD]
  [TD="width: 197"] What It Might Mean[/TD]
  [TD="width: 197"] Other Symptoms [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 197"]Bloody or brown[/TD]
  [TD="width: 197"]Irregular menstrual cycles, or less often, cervical or endometrial cancer[/TD]
  [TD="width: 197"]Abnormal vaginal bleeding, pelvic pain[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 197"]Cloudy or yellow[/TD]
  [TD="width: 197"]Gonorrhea[/TD]
  [TD="width: 197"]Bleeding between periods, urinary incontinence[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 197"]Frothy, yellow or greenish with a bad smell[/TD]
  [TD="width: 197"]Trichomoniasis[/TD]
  [TD="width: 197"]Pain and itching while urinating[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 197"]Pink[/TD]
  [TD="width: 197"]Shedding of the uterine lining after childbirth (lochia)[/TD]
  [TD="width: 197"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 197"]Thick, white, cheesy[/TD]
  [TD="width: 197"]Yeast infection[/TD]
  [TD="width: 197"]Swelling and pain around the vulva, itching, painful sexual intercourse[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 197"]White, gray, or yellow with fishy odor[/TD]
  [TD="width: 197"]Bacterial vaginosis[/TD]
  [TD="width: 197"]Itching or burning, redness and swelling of the vagina or vulva
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Kiukweli nakushauri uende hospitali,utapata tiba sahihi baada ya vipimo sahihi kufanyika....
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hapa ni JF Doctor, acha wenye uelewa waje kumshauri acha ufalla bwegge wewe.
   
 14. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mnajua hili jukukwaa linatumika kuwasaidia wantanzania wenye matatizo? Ebu acheni mambo ya ajabu mtasababisha watu washindwe kupata ushauri wa kuokoa maisha yao."Tafakari na chukua hatua"
   
 15. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mwambie comrade awe anatupia vile vitu nje au kwenye dume!!
   
 16. C

  Caritha Senior Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanten kwa ushauri wengine wenye masihara co vzur hapa tunasaidiana
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Inaonekana shule ulifeli wewe,ebu msikilize tena mtoa mada.

  "Naomba kujuzwa sababu ya kutokwa na majimaji yenye harufu ukeni kwa siku kadhaa baada ya tendo la ndoa na nini kifanyike ili kuondoa hali hiyo."
   
 18. majany

  majany JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  [​IMG] By King Kong III [​IMG]
  Hyo mara nyingi inasababishwa na watu wengi wanatumbikiza deep stick wanapima oil sana!


  Kweli bangi za asubuhi sio nzuri.......haya mkuu endelea kumponda mwenzio.....!!!Lakini its better usome 'all possible causes' ya hiyo kitu.......na siyo kumwambia kwamba inaletwa na multiple partners!!!Hata ingekua hivyo,tayari anayo maambukizi...so whaaaat???apate tiba kwanza.....au akubali umkandie na awe depressed!!!!Nafikiri unaelewa.....!!!Na siyo huyu tu,katika hili jukwaa la JF doctor,mkuu wewe huwa una majibu ambayo siyo helpful kabisa...JIREKEBISHE..kama unapenda utani,zamia CHITCHAT na sio kutania watu wenye ugonjwa bhana!!Alllaaah
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Huo Ni Mtazamo wako tu,Mtoa mada ashaspecify kwamba hayo maji yanatokea baada ya kufanya mapenzi,elewa swali hakusema huwa yanatoka tu.....
   
Loading...