Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
Gauze as well as v. packs are very essential to every your game episode.
chingereza chigumu....mi wala shijaelewa...:spy:
Gauze as well as v. packs are very essential to every your game episode.
Mmmh! Ndimu tena...!dah pole ndugu yetu,,, hapo cha msingi mwambie kila aendapo kuoga awe anakamulia ndimu kule maeneo baada ya mda kitu kitakuwa mnato mwanzo mwisho
Mmmh! Ndimu tena...!
mwenye maji mengi hata ukitumia condom ni kujisumbua tu kama unatoka umelowa hadi kwenye stomach.
Piga chini.
Mkuu inaelekea hujawahi kukutana na mfaraji wa Suez wewe! Hatari sana ile makitu!mimi sioni kama ni tatizo!
cha msingi ni ninyi kuwa wasafi wakati wakurukiana...
ila maji yanahusika sana wakati wa kujamiiana!
Wajameni mwenzenu huyu mama enu mdogo kusema kweli nampenda sana,wakati tulipokua tunaanza mwaka jana mwezi kama huu nilikua natamani mda wote nile raha tu.
Ila ana tatizo la kutoa majimaji ya daah... Kwa uzoefu wangu unapozidi kula tunda hasa kama umevaa helimeti maji yanakauka haraka sana. Lakini hapa ni tofauti,unapozidi kula ndo hayakauki hadi mwisho
Naombeni ushauri na msaada hasa akina mama mnipe uzoefu wenu,maana karibia nafanya maamuzi magumu hali ikiendelea kuwa tete.
Nanini ka kwambia maambukizi yanatokea mpaka pawe na michubuko?
.hayo maji ya uke yanabeba v.v.u
.ute wa uume nao unabeba v.v.u
.Damu
.Maziwa ya mama
chukua muda mrefu ktk maandaliz yake