Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Saiz kuanzia Mafiat kwenda meta m ni maghorofa tupu,bado Eneo kuanzia Uyole hadi mwanjelwa along Tanzam highway ni hot kwenye ujenzi
Bado CBD kule kote ni

Pia waambie Mbeya ina university/Collage/Campus karibu 10 hata Mwanza haina vyuo vingi kiasi hicho

Saizi Mbeya haijadili maghorofa bali tunajadili barabara dual carriage

Acha porojo mwanza Ina university na college pamoja na institutions kibao
 
Back
Top Bottom